Wiki inayoanza kesho jumatatu itakuwa na matukio ya kusisimua katika siasa ya nchi yetu

Wiki inayoanza kesho jumatatu itakuwa na matukio ya kusisimua katika siasa ya nchi yetu

Hii itakuwa wiki ya moto sana kwa wanasiasa na siasa kwa ujumla.

Kuanzia chama tawala mpaka upinzani.

Kuna matukio ya kisiasa yatatokea ndani ya wiki hiyo kuanzia kesho jumatatu tarehe 28/07/2025 mpaka jumapili ya 04/08/2025

Tuvute subira
Wiki imekuwa ya moto hasa, kwaheri January kwenye Ubunge
 
Back
Top Bottom