Wiki mbili baadaye, jumuiya ya kimataifa bado haijawatupa mashujaa wa Tanzania

Na hata sisi wana DRC tunaendelea kuwapa pole ndugu zetu waTANZANIA, pole sana, haki za kibinadamu hazipo tena, hata sisi tuna meendelea kukufa tangu 1994 wakati tulipokea wakimbizi kutoka rwanda mpaka sasa tunakufa kila siku bila wakutuonea huruma, basi Mungu pekee ndie ajuae mwisho wa utawala wa ulimwengu wa leo.
 
Mauaji ni mauaji tu, hakuna ya ndani wala ya nje. Maana yote yanaondoa haki ya kuishi.
Zero brain.. hapa tunazungumzia effect za kufanya mauaji ya ndani na nje.. Mauaji ya ndani na nje effect yake ni tofauti kabisa ..
Zero brain.. Tafakari.. Effect ya madhara ya mauaji ya ndani ni mara 10000 ya mauaji ya nje...Tofautisha kuvurugana na mtu wa nje na ndani..Nothing will go on .. kwa kua mna share ..
 
Mauaji ni mauaji tu, hakuna ya ndani wala ya nje. Maana yote yanaondoa haki ya kuishi.
Zero brain.. hapa tunazungumzia effect za kufanya mauaji ya ndani na nje.. Mauaji ya ndani na nje effect yake ni tofauti kabisa ..
Zero brain.. Tafakari.. Effect ya madhara ya mauaji ya ndani ni mara 10000 ya mauaji ya nje...Tofautisha kuvurugana na mtu wa nje na ndani..Nothing will go on .. kwa kua mna share ..
 
Umeongea upumbavu tu na akili zako za kitumwa.
 
Niffer hajakamatwa kwa kucheza challenge ya TikTok,wapeni ukweli hao media zenu, niffer na wenzake walikua na group la wasap wakihamasishana na kupeana mbinu za kuandamana
 
Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.

Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia ile nguvu dhidi ya wale waandamanaji waliochamganyika na magenge ya wezi na waharibifu?

Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni kama hicho tulichokisikia. What if Serikali ingetumia ile reasonable force na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
 
Umeongea upumbavu tu na akili zako za kitumwa.
Zero brain jibu hoja.. Je aliyeua baba, mama na wototo na aliyeua mtu wa taifa jingine na wauaji wote wakaachwa huru je maisha baada ya mauaji yatakua sawa.. Tafakari... Mchape viboko bila sababu mfanya kazi wako na mtu wa nje je baada ya tukio kuisha je madhara yatakua makubwa upande upi, mfanyakazi wako anaweza kuwachinja wanao, kuwapa sumu, kukuibia, kuchoma nyumba yako.. Tafakari
 
Wengi wanaozungumzia nguvu iliyotumika wako ughaibuni. Kwahiyo ni rahisi kuzungumzia haki za binadamu za Ulaya na Marekani. Askari wa Bongo wangejifanya nao kama Askari wa Ulaya na Marekani wale Wahalifu wangewakuta Ikulu. Kwahiyo kilichotokea kiwe funzo kwa wananchi na vyombo vya dola, baada ya hapo tuheshimiane ili maisha yaendelee.
 
Nami nasimama na huu point, hali haikuwa poa kabisa kwa maana wahalifu walikuwa wamejipa utawala.
 
Huyu mwendawazimu Samuya Silaha, haendi popote na atapoteana vibaya sana kwa uovu aliowatendea Watanganyika
 
Dah inaumiza sana....mimi kila nikiangalia zile video za wauaji machozi yananitoka
Wapumzike kwa amani marehemu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…