Wiki mbili zijazo nina safari ya kwenda Pennsylvania

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
Kutokana na safari yangu ambayo ni wiki mbili zijazo sitaki kwenda mwenyewe nataka nipate mwanadada wa hapa JF ikipendeza awe Mod kama yupo

Kwa hiyo wanadada wa huku kama hujawahi au unataka kusafiri kuelekea Pennsylvania kwaajili ya kurefresh kwa siku kadhaa na kurudi Tz, basi utaniambia ili mipango ya safari ianze mapema. sifa ni awe na muonekano mzuri pia Model sio bonge.
 
Mkuu Tanzania iko kwenye visa ban na Marekani. Ebu tupiako basi hako kapicha ya visa kwa sisi kina Tomaso.
 
Hawa ndiyo wale watu akiwa sehemu anakula chakula kizuri siku hyo, let's say "wali makange samaki", anapiga picha anaaweka status.
 
kwahiyo yule baby wako ulosema unampenda hamuendi wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…