ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Yaan nibadili jina kwa ajili yako acha basi mkuu😂😂yule ShesRise_1 niligundua mimi nampenda lakini yeye hanipendi ( amebadilisha jina kabisa kwaajili yangu )
Hua na imagine wewe ni mtu wa namna gani kwa post zako 😁
Ila kila la kheri furahia safari yako kijana