ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Yaan nibadili jina kwa ajili yako acha basi mkuu๐๐yule ShesRise_1 niligundua mimi nampenda lakini yeye hanipendi ( amebadilisha jina kabisa kwaajili yangu )
Utajua tu kijanaHATA najaua basi
ahsante sana...Yaan nibadili jina kwa ajili yako acha basi mkuu๐๐
Hua na imagine wewe ni mtu wa namna gani kwa post zako ๐
Ila kila la kheri furahia safari yako kijana
yaani mkuu kuna watu hata wakiona ushaidi hawaamini kwaiyo haina haja ya kuwaaminisha sanaNilikuona wakati uko pale unakata tiketi nikakuselfi na simu yangu, hebu wafungulie ndani waone jina la kimatumbi
View attachment 3570162
Goood... Utatutumia picha ya ushahidi. Isije ikawa ni blah blaah tubado siku 3 I feel good utaniambia nini
sawa ila nimesikitishwa kwasababu sijapata wa kwenda nae hadi sasaGoood... Utatutumia picha ya ushahidi. Isije ikawa ni blah blaah tu