Wiki mbili zitanitosha kujua gari?

Wiki mbili zitanitosha kujua gari?

Manual haina shida ukijua kubalance gear maana hata kwa cku 3 unagonga gear ngoma inatambaa no matter wewe ni wa kike au kiume.
 
Habari zenu ndugu zangu.
Ninataka kujifunza kuendesha gari, haya magari madogo ya familia.

Je, wiki mbili zitanitosha kujua kuendesha manual na automatic?
1e826ddffb93613f27667a62357ff2e8.jpg


Muhimu kariri hizo.
NI msaada sana kwako na kwa wengine.🙂
 
Habari zenu ndugu zangu.
Ninataka kujifunza kuendesha gari, haya magari madogo ya familia.

Je, wiki mbili zitanitosha kujua kuendesha manual na automatic?
Week mbili hazitoshi maana utakuwa huna uzoefu wa kutosha kuingia barabarani kuweza kusawazisha makosa ya madereva wazembe. Kama unalipenda gari lako jipe muda usiwe na haraka anza taratibu uzoee kunyoosha na kupishana vizuri barabarani then mengine yatakuja.
 
Zamani ukitaka kujua kuendesha gari lazima upakatwe ila sasa mwalim anakaa kushoto
 
Habari zenu ndugu zangu.
Ninataka kujifunza kuendesha gari, haya magari madogo ya familia.

Je, wiki mbili zitanitosha kujua kuendesha manual na automatic?

zinatosha kabisa hasa ukipata mwalimu mzuri kama mimi nitafute nikufundishe pia ukiwa na kichwa chepesi kwa ajili ya kujua sheria za barabarani
dereva bora ni yule anayejua sheria za barabarani na kujua kumuendesha dereva aliye nyuma yake
 
Kuendesha gari raha sana. Ahsanteni sana wapendwa wangu wa jf
 
Na tatizo lingine ni kuendesha magari matatu kwa pamoja....La mbele yako, la nyuma yako na la kwako.....!
sasa hiv unaongeza na boda boda wa kushoto na kulia ..mwendesha bajaj na mwendesha baiskel hapo jumlisha na mtembea kwa miguu....bila kusahau na trafic anayekutegea kwenye mstar mweupe wa mwenda kwa miguu...kazi ipo
 
Back
Top Bottom