kweli kabisa hata mm siku ya kwanza kuendesha gar mume wangu alikuwa anaumwa ....mm nilikuwa namwona tu akiendesha kila mara nikasema nitaenda kujifunza sikuwa naenda ...ila hyo siku sitakaa niisahau nilimwendesha mpka hosp....baada ya kupona hapo hapo nilienda huo wiki 2 mana nilikuwa nikitoka narud nachukua gar naenda uwanjan najipangia mawe mwenyewMmmh!!
Ya kweli hayo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ndio hao watakao kuwa wanawasha indicator ya kushoto halafu yeye anakata kulia'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli kabsa maana hawa boda boda wa sasa hv wanajfanya wana haraka bila ya kujua sheria wala hawajali uwepo wa vyombo vngne.sasa hiv unaongeza na boda boda wa kushoto na kulia ..mwendesha bajaj na mwendesha baiskel hapo jumlisha na mtembea kwa miguu....bila kusahau na trafic anayekutegea kwenye mstar mweupe wa mwenda kwa miguu...kazi ipo
Siku hizi una kazi gani maana akili yako ina mwendo wa haraka sana Ka bombardierJF raha sana.
Siku hizi una kazi gani maana akili yako ina mwendo wa haraka sana Ka bombardier
Kweli ni ya zamani eti ndo nashtuka sasa....thanks kuni alertMbona hii post ni ya zamani mkuu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unataka kudesa
"Jiangalie kichwa chako kama kiko sawa sawa!"Habari zenu ndugu zangu. Ninataka kujifunza kuendesha gari, haya magari madogo ya familia. Je, wiki mbili zitanitosha kujua kuendesha manual na automatic?
Swali la msingi....Mambo gani ya Msingi dereva anapaswa kutafanya kabla ya kuwasha gar kuanza Safari ?
Vp wako vzr Lumumba?Week mbili zinatosha kbsaa..mm nilijifunza kwa week mbili Lumumba driving school tena gari manual. Chamsingi ni kufanya mazoez na kuzijua sheria za barabara
Mkuu unafundisha kwenye driving school? Nikutafute?zinatosha kabisa hasa ukipata mwalimu mzuri kama mimi nitafute nikufundishe pia ukiwa na kichwa chepesi kwa ajili ya kujua sheria za barabarani
dereva bora ni yule anayejua sheria za barabarani na kujua kumuendesha dereva aliye nyuma yake
Kujua gari hizi auto siku 3 tu. Tatizo kujua sheria na alama za barabarani utakuchukua muda mrefuHabari zenu ndugu zangu.
Ninataka kujifunza kuendesha gari, haya magari madogo ya familia.
Je, wiki mbili zitanitosha kujua kuendesha manual na automatic?
Naomba mawasiliano yao mkuu nijue garama... Kuna mdogo wangu anahitaji huduma hiiWeek mbili zinatosha kbsaa..mm nilijifunza kwa week mbili Lumumba driving school tena gari manual. Chamsingi ni kufanya mazoez na kuzijua sheria za barabara
afanyaje sasaTatizo sio kuzungusha usukani na kuweka gia.
Tatizo ni kujua sheria na alama za bara barani
ina
jizimaga otomatiki ukirudisha usukani