Wiki nzima bila kutongozwa

Hapo umenena!Baadae ntakupa mbinu mbili tatu za kumtuliza mamie!Hehehe baba mchungaji akitoka tu jela anawapa somo!

nadhani nazihitaji sasa than ever! very desperate!l.o.l
 

Hahaha inabidi tuanze kurekodi hayo matukio aise..!Kwakweli tuna kitu kitakua hakijakaa sawa!
 
you dont even have a single idea what that word means to me right now! its bigger than universe....

Tell me something and i come back,you have apologized, now i want you to welcome me back where i belong........lol πŸ˜›layball:
 
nilifikiri ulinielewa! mitongozo mnapenda sana tu na kuolewa pia ila hamjakutana na wenza wenu wa maisha na atakuja kwa njia hiyohiyo ya mitongozo. wala hatutofautiani hapa jf swala mtu achangie hoja kwa kukubaliana au kukataliana sio wengine wanaona wenzao hawana akili. maskini mtoa mada mpaka kakimbia.
Kuna kufikiriana visivyo nimegundua hapa JF...........ukitofautiana wewe ni muongo,kwa mwendo huu itabidi kila hoja hata mtu akija na wanawake wote ni wahuni,useme ndio.....
ukisema sio wewe muongo,unaambiwa uwe mkweli.....mbona hapatatosha hapa????
 

job true true!
 
Nione baadae basi...!With Michelles' pamishen ofcoz!

Nimekuruhusu my dear,naomba umwambie tu nampenda na asirudie kosa.....πŸ˜›layball:

Kama alivyoona bado nyota inang'aa akiteleza tena itakula kwake...:shut-mouth:
 
Nimekuruhusu my dear,naomba umwambie tu nampenda na asirudie kosa.....πŸ˜›layball:

Kama alivyoona bado nyota inang'aa akiteleza tena itakula kwake...:shut-mouth:

Kweli mapenzi ni . . . .
 

Nimekuelewa Dinnah,napiga tu story na LIzzy,mi nae tunajuana kwa vilemba,so tunastorisha tu in public,ndo mambo ya JF hayo,worry not,somo lako nimeshalipata na wengine pia watakusoma,thanks!πŸ˜›layball:
 
here i come......πŸ˜›layball::A S-heart-2:

I may not be your PEPSI choice of the new generation; I may not be ur COKE, only the real thing; or your NIDO, world's no. 1 but i can be your REXONA I won't let you down.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…