hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,837
Hapo umenena!Baadae ntakupa mbinu mbili tatu za kumtuliza mamie!Hehehe baba mchungaji akitoka tu jela anawapa somo!
nadhani nazihitaji sasa than ever! very desperate!l.o.l
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umenena!Baadae ntakupa mbinu mbili tatu za kumtuliza mamie!Hehehe baba mchungaji akitoka tu jela anawapa somo!
Am missing you,thats what's up!!
Mimi inabidi niende bagamoyo,nina mwaka sijui sijatongozwa na wala sijiulizi nilikuwa naona sawa tu,leo nimepata ''wake-up call,something might be wrong with me.'' Nakuja my dear,hii topic inaninyima usingizi,kumbe wenzangu kila siku......😛layball:
Nione baadae basi...!With Michelles' pamishen ofcoz!nadhani nazihitaji sasa than ever! very desperate!l.o.l
you dont even have a single idea what that word means to me right now! its bigger than universe....
Kuna kufikiriana visivyo nimegundua hapa JF...........ukitofautiana wewe ni muongo,kwa mwendo huu itabidi kila hoja hata mtu akija na wanawake wote ni wahuni,useme ndio.....
ukisema sio wewe muongo,unaambiwa uwe mkweli.....mbona hapatatosha hapa????
Tell me something and i come back,you have apologized, now i want you to welcome me back where i belong........lol 😛layball:
nilifikiri ulinielewa! Mitongozo mnapenda sana tu na kuolewa pia ila hamjakutana na wenza wenu wa maisha na atakuja kwa njia hiyohiyo ya mitongozo. Wala hatutofautiani hapa jf swala mtu achangie hoja kwa kukubaliana au kukataliana sio wengine wanaona wenzao hawana akili. Maskini mtoa mada mpaka kakimbia.
Tell me something and i come back,you have apologized, now i want you to welcome me back where i belong........lol 😛layball:
Nione baadae basi...!With Michelles' pamishen ofcoz!
Mmmmmmmh
Nimekuruhusu my dear,naomba umwambie tu nampenda na asirudie kosa.....😛layball:
Kama alivyoona bado nyota inang'aa akiteleza tena itakula kwake...:shut-mouth:
Nimekuruhusu my dear,naomba umwambie tu nampenda na asirudie kosa.....😛layball:
Kama alivyoona bado nyota inang'aa akiteleza tena itakula kwake...:shut-mouth:
eeeh ishia hivo hivo
eeeh ishia hivo hivo
nilifikiri ulinielewa! mitongozo mnapenda sana tu na kuolewa pia ila hamjakutana na wenza wenu wa maisha na atakuja kwa njia hiyohiyo ya mitongozo. wala hatutofautiani hapa jf swala mtu achangie hoja kwa kukubaliana au kukataliana sio wengine wanaona wenzao hawana akili. maskini mtoa mada mpaka kakimbia.
Kweli mapenzi ni . . . .
here i come......😛layball::A S-heart-2:
umeshafika huku jamani??:A S shade: