Ni heshima kaka ila inategemea unatongozwa na nani? ukitongozwa na hausiboy wako nayo heshima?
michelle .hahahaha, sio panya hao ni Sungura, wameshamaliza kucheza.............la panya wacheza karata.....lol
afadhali hii sredi imesizi maana ilikuwa kama uchochoro wa umbea na upashkuna lol
michelle .hahahaha, sio panya hao ni Sungura, wameshamaliza kucheza.
Hujatongozwa wiki tu unalalama hivyo, je usipopigwa mshobobo kwa wiki nzima si ndio unaweza kurakwa na akili kabisa ukatembea uchi mitaani?
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.
Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.
Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?
Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia,
nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu
imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini
mambo ya nyota)
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.
Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.
Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?
Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)