Wiki nzima bila kutongozwa

Wiki nzima bila kutongozwa

I think:

1. mambo ya kutongozana yamepunguwa - lakini still wapo wanopenda ni moja ya
conversation & to know each other.

2. watu wamekuwa woga (hasa wanaume), kufanya relation sababu ya matatizo ya life.

3. fikra eg: mbona demu anajitembeza vile, isiwe ana bla bla bla.

4. fikra eg: nikimtongoza, atataka kutobowa mfuko wangu, na mie sina hela za kutosha.

5. etc.
 
Ni heshima kaka ila inategemea unatongozwa na nani? ukitongozwa na hausiboy wako nayo heshima?

Kutongozwa nikutongozwa tu, awe houseboy awe milionea wote ni wanaume ukikubali end of the day kitendo watakachokifanya kianafanana ni hicho hicho.
 
Hujatongozwa wiki tu unalalama hivyo, je usipopigwa mshobobo kwa wiki nzima si ndio unaweza kurakwa na akili kabisa ukatembea uchi mitaani?
 
afadhali hii sredi imesizi maana ilikuwa kama uchochoro wa umbea na upashkuna lol
 
michelle .hahahaha, sio panya hao ni Sungura, wameshamaliza kucheza.

:shock:he he he he,jamani niwie radhi nilisoma St Kayumba tulikuwa hatufundishwi wanyama ndo maana nikaita sungura panya......duh

Bora ningenyamaza,nimeonyesha ujinga wangu ati Vince eeee??? wasalimu basi hao sungura waambie kesho naja kucheza nao.....
 
Duh, kutongonzwa??? Nipe details zako nikufungulie account ya ku....ngozwa just now. Kweli inawezekana maana tumeumbwa tofauti.
 
Nakubaliana na wewe kabisa, huo uswahili miaka hii ni ya kufikiria kutongozwa ndio ujione uzuri, hivi wanawake badala ya kufikiria maendeleo usome uwe na kazi yako, unafikiria hujatongozwa wiki nzima, is it an investment to you!!!!!!! Mana jamani mtu akuone unapita na kukimbilia akutongoze hapo ndio ujione mzuri kha!! kweli mawazo duni!
 
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.

Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.

Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?

Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia,
nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu
imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini
mambo ya nyota)

Issue sio kutongozwa tu dada/kaka,issue ni aina ya watu wanaokutongoza, hili lina maana
kubwa sana kwa mwanamke kuliko hata
kutongozwa kwenyewe.
 
 
Last edited by a moderator:
Ni pm nikutongoze wiki isijepita tena baby
ikawa kazi
 
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.

Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.

Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?

Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)

Pole sana labda siku hiyo hukuvaa nguo za kuita....
 
Back
Top Bottom