Wiki nzima bila kutongozwa

Wiki nzima bila kutongozwa

Mi cpendi kabisa kutongozwa wala kusemeshwa barabarani. Huwa naona kama vile nimedharauliwa. Hivyo hata ikipita mwaka naona sawa tu.

Na vile huna shepu ndo kabisaaaaaaaaa...
 
Mi cpendi kabisa kutongozwa wala kusemeshwa barabarani. Huwa naona kama vile nimedharauliwa. Hivyo hata ikipita mwaka naona sawa tu.

unataka usemeshwe/utongo9e wapi? Barabarani,stendi,hotelini,pub,hata ndani ya busi ndio appoitments huanzia.au unataka kufuatwa ofisi kwako au nyumbani?
 
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.

Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.




Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?

Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)


Basi mie naanza kukusafishia nyota..., nimekupenda kweli kweli baada ya kuwa muwaz najua mwanamke mzuri ni yule ambaye anaejitambua kwa kutumia SWOT analysis...., kama vp ni pm nikutoe pepo la kukuzuia kutongozwa.....!

sawa...?usiangalie chin basi. niangalie mm ninaekuambia haya maneno......,
 
Kutongozwa nikutongozwa tu, awe houseboy awe milionea wote ni wanaume ukikubali end of the day kitendo watakachokifanya kianafanana ni hicho hicho.

Heeee hata kama anayekutongoza anataka kumaliza tu hamu halafu ale kona hapo napo utajisifia??
 
jitongozeshe mwenyewe kisha jipe majibu baada ya hapo jichekeshe mwenyewe
 
Jamaaaan ni balaaaaa hili jaman la kuingizana kwenyee biashara za kutaka kutongozana!!!!Ka ndo unashepu zile zile za unapoenda ka unarudi basi labda jitangaze Fb sio Jf!!
 
inaelekea shost huna mpenzi/mume wala wakuzugia ndo mana unakuwa na hata muda wa kufatilia hilo..pole.
 
Back
Top Bottom