muwaha
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 740
- 148
Mi cpendi kabisa kutongozwa wala kusemeshwa barabarani. Huwa naona kama vile nimedharauliwa. Hivyo hata ikipita mwaka naona sawa tu.
Na vile huna shepu ndo kabisaaaaaaaaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi cpendi kabisa kutongozwa wala kusemeshwa barabarani. Huwa naona kama vile nimedharauliwa. Hivyo hata ikipita mwaka naona sawa tu.
Mimi mwaka jana wote umepita sijatongozwa halafu naona poa tu
Mi cpendi kabisa kutongozwa wala kusemeshwa barabarani. Huwa naona kama vile nimedharauliwa. Hivyo hata ikipita mwaka naona sawa tu.
We co mzima mwili wako una upungufu wa malove!
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.
Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.
Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?
Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)
Kutongozwa nikutongozwa tu, awe houseboy awe milionea wote ni wanaume ukikubali end of the day kitendo watakachokifanya kianafanana ni hicho hicho.
Na vile huna shepu ndo kabisaaaaaaaaa...
Duh!!!???Mi cpendi kabisa kutongozwa wala kusemeshwa barabarani. Huwa naona kama vile nimedharauliwa. Hivyo hata ikipita mwaka naona sawa tu.