michelle i use to love your comments please be wise!!!!
Hahahaaaaa niweke tu kizuizini muheshimiwa. Ila house boy kukutongoza ni dharau
na kati ya wanaokutongoza kwa mwaka mzima unakuwa umewakubali wangapi na wangapi umewatolea nje? naona kama unakaa kimitegomitego hivi ili utongozwe na roho yako ifurahi, wallah waume zetu wana tabu.
My dear Dinnah,sometimes we have to agree to disagree,i do not comment to please anyone but simply to share my opinion which might not always be wise,because am human.
Sorry if i have dissapointed you,thats how great thinkers argue.πlayball:
Unataka kusema kitu lakini umekimezea especial hiyo mistari ya mwisho nadhani hayo maneno yanapatikana kwenye beti ya nyimbo moja ya taarabu/mipasho "wako akiwa kwako"
Tatizo hapa sio mada wala mtoa mada. yeye kajielezea anavyojisikia yeye wewe either muunge au usimuunge na utetee hoja yako sio kumwambia amekosea hajakosea chochote. hakuna mwanamke asiependa kutongozwa katu nakataa jamani
saa nyingine tuwe tunaongea na ukweli.mimi huwa napitia sana humu jamvini japo umember nimepata hv karibuni na kuna watu wamejiunga humu nawaona mpaka leo hii wanajiona wametawala hili jamvi.kwa hiyo wamezoeana mmoja akitoa mada wote wanajitia kumsaport.
tuwe wakweli na tuheshimu hoja ya kila mmoja msiangalie nani katoa na kwa nini. tatizo lenu mnakutana mshajuana so kila mdada hapa anajitia ana tabia nzuri anakunja makucha yake asionekane mbaya mbele ya jamii.
Bila mtu kusema anachojisikia nyie mngejuaje kwa hiyo mkubali kwenye jamii kuna kila mtu na kila mtu ana feelings zake jao wengine kujishaua ooo hatutaki kuolewa oooo hatutaki kutongozwa ooo sijui nini.
ndio hawa wanaolewa badae wanatoa makucha wanaume wanawakimbia.
msijiite tu ma great thinker, GT anaangalia strength and weakness na mengine kama hayo
ahsanteni, naomba kuwakilisha
Uko vivuri kwenye idara ya wanataarabu, ati?
Lakn GT kwann tusifunge topic hii???? Naona mtoa mada kaelewa everything na haina tija tena kendelea nayo. Twende kwenye uwanja wa siasa kuna hot issues pls for for country's prosperity!!!
Unajua Dinnah,wakati najibu comment yangu ya nyuma nilikuwa sijasoma hii:
Ha ha ha ha ha, Dinnah........
Kujishaua ni nini,kwamba mtu kasema hataki kuolewa ni kujishaua.....unajua kila mtu ana sababu yake iliyomfikisha kuamua maisha yake hivyo,safari zetu hapa duniani hazifanani,kwahiyo maamuzi ya maisha yangu au ya fulani anaishije inategemea sana maisha aliyopita.....kuna watu wamekuwa kwenye familia ambazo mama zao wameteswa,wenyewe wameteseka kwenye mahusiano na hawaoni kama kuna furaha kwa ndoa,wengine wanajifunza kutoka kwa role models wao walioshindwa kuhimili ndoa,wengine ni kwa kupenda tu,sasa hapa JF mtu ajishaue ili iweje?tunajuana,is this a dating site kwamba you want to please someone????
Unasema tuangalie strength na weakness at the same time unaona watu wanajishaua,si ndo wenzio wamepima strength na weakness za ndoa ndo tukaamua hivyo???
Sehemu kama JF lazima ukubali criticism,kwakuwa hatufikiri sawa,lakini ukianza kusema watu wanajishaua unless you can prove that unawakosea wenzio........πlayball:
Kuna beti hapo mwanzo wa comment zako yaani ulipangilia vizuri vina halafu ukaharibu ulikuwa unaghani nini?
:suspicious::suspicious::shock::shock::kev::kev::car::car:
:yo::yo::yell::yell::washing::smash::smash::focus:
My dear Dinnah,sometimes we have to agree to disagree,i do not comment to please anyone but simply to share my opinion which might not always be wise,because am human.
Sorry if i have dissapointed you,thats how great thinkers argue.πlayball:
This might as well be called sense of insecurity!..what matters is what you have inside not what you get from outside!:car:.....it depends
Nakubaliana na wewe kabisa ila kuna watu wakiona comment ya fulani wataunga mkono wakiona ya fulani wanaibuka utafikiri wamepata pm jamanieeee njoeni huku. inakuwaje nyie wote mnaojuana mna mawazo sawa?
pia nawalaumu wale wanaoona koment ya mtu wanaanza kumkandia mbona mkikandiana wenyewe hampeani maneno makali mala huyu atakuwa malaya mara anaishi uswazi mara sijui nini hamuoni kwamba sio vizuri
wengi hapa tuna jua mwanamke kama hujatongozwa wala huoni vizuri iwe kwa wiki mwezi au mwaka.sasa wengine hawapendi eti wanaangalia status ya mtu kwani nani alisema houseboy hana feelings?
hakuna watu walipata story mtoto wa kigogo hapa bongo kaolewa na houseboy wao na badae kampeleka shule na sasa anafanya kazi huku akiendelea kujiendeleza?
mbona sie hapa kwetu tunaingia kwenye jf hadi na hg na hboy wetu na wote wanajiita magreat thinker hiyo ni kwa taarifa ya wote tu.watu wacomment lakini wawe wakweli sababu mnajuana kwa sura hakuna hata siku moja mdada wa humu au mkaka wa humu atasema nimulala na housegirl or boy naomba ushauri ila ambaye hajulikani atauliza tu. strength na weakness za topic sio kusema mwenzenu mtoto au anakaa uswaz.by the way ur the one of my best commentor in this forum
naomba kuwakilisha hoja
These shakespears poem sometimes huwa haziwork out mydear tracy! lazima mitongozo ipite kwanza ceteris paribus
Utajisikiaje ukitoa thread yako watu wanakuja wanaanza kukwambia huna akili, we mtoto . utakuwa wa uswazi badala ya kujibu mada iliyotolewa?think about that michelle! bora hata wale wanaoanzisha mada juu ya mada kuliko wanaomtukana mtu au kumwona kama hana akili
shughuli yangu......
Mi cpendi kabisa kutongozwa wala kusemeshwa barabarani. Huwa naona kama vile nimedharauliwa. Hivyo hata ikipita mwaka naona sawa tu.