Wiki nzima bila kutongozwa

Wiki nzima bila kutongozwa

Thenki yu,thenki yu......nimezihifadhi kwa nafsi yangu ............lol,umemliza mwanaume mwenzio CPU???

HAHAHAHAHAH . . . . Ngoja nipumzike nimuache mshikaji wangu hashycool apumue 🙂🙂
 
Nitaacha kuwa na wivu kweli kwa malove hayo hapo? Ila Mimi simtungozi tumeshakubaliana nae kuwa kutongozwa si SIFA au KUTONGOZA

anhaaa..... mie nilijua na wewe wataka kunifanyia uzandiki...l.o.l
 
Nimekuruhusu my dear,naomba umwambie tu nampenda na asirudie kosa.....😛layball:

Kama alivyoona bado nyota inang'aa akiteleza tena itakula kwake...:shut-mouth:

Mmma my dear nimeshajiandaa kumpiga brush Hashy alafu nasikia habari ya sijui Sipiyu...vipi tena hii kitu?
 
mbadoooooo nipo 🙂

halafu na wewe hulali tu? Aaaaarg......mkeo akusubiri hukooooo.....na jukwa la wakubwa wameweka picha motomoto hebu nendaga na huko! Eeeeh L.O.L
 
Mmma my dear nimeshajiandaa kumpiga brush Hashy alafu nasikia habari ya sijui Sipiyu...vipi tena hii kitu?
:disapointed::disapointed:
Daaaaah! Masikini my name!!!
 
halafu na wewe hulali tu? Aaaaarg......mkeo akusubiri hukooooo.....na jukwa la wakubwa wameweka picha motomoto hebu nendaga na huko! Eeeeh L.O.L

:shock:

:shock: :suspicious:
 
Back
Top Bottom