CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
Thenki yu,thenki yu......nimezihifadhi kwa nafsi yangu ............lol,umemliza mwanaume mwenzio CPU???
HAHAHAHAHAH . . . . Ngoja nipumzike nimuache mshikaji wangu hashycool apumue 🙂🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thenki yu,thenki yu......nimezihifadhi kwa nafsi yangu ............lol,umemliza mwanaume mwenzio CPU???
Hivi kutongoza au kutongozwa ni sifa?
HAHAHAHAHAH . . . . Ngoja nipumzike nimuache mshikaji wangu hashycool apumue 🙂🙂
Kwa mjadala uliopita,nafikiri jibu ni NDIYO kwa baadhi ya watu,na HAPANA kwa baadhi......kesho tutapiga kura kujibu hilo!!!
HAHAHAHAHAH . . . . Ngoja nipumzike nimuache mshikaji wangu hashycool apumue 🙂🙂
Piga kabisa kura yako
Twende zetu,namgongea hafungui......:disapointed:
duh!
Twende zetu,namgongea hafungui......:disapointed:
naona wivu
Kura yangu ni=HAPANA,kutongozwa si sifa!😛layball:
zipu na wewe?
Nitaacha kuwa na wivu kweli kwa malove hayo hapo? Ila Mimi simtungozi tumeshakubaliana nae kuwa kutongozwa si SIFA au KUTONGOZA
anhaaa..... mie nilijua na wewe wataka kunifanyia uzandiki...l.o.l
Nimekuruhusu my dear,naomba umwambie tu nampenda na asirudie kosa.....😛layball:
Kama alivyoona bado nyota inang'aa akiteleza tena itakula kwake...:shut-mouth:
mmma my dear nimeshajiandaa kumpiga brush hashy alafu nasikia habari ya sijui sipiyu...vipi tena hii kitu?
mbadoooooo nipo 🙂
:disapointed::disapointed:Mmma my dear nimeshajiandaa kumpiga brush Hashy alafu nasikia habari ya sijui Sipiyu...vipi tena hii kitu?
halafu na wewe hulali tu? Aaaaarg......mkeo akusubiri hukooooo.....na jukwa la wakubwa wameweka picha motomoto hebu nendaga na huko! Eeeeh L.O.L