Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
Nakubaliana na wewe kabisa ila kuna watu wakiona comment ya fulani wataunga mkono wakiona ya fulani wanaibuka utafikiri wamepata pm jamanieeee njoeni huku. inakuwaje nyie wote mnaojuana mna mawazo sawa?
pia nawalaumu wale wanaoona koment ya mtu wanaanza kumkandia mbona mkikandiana wenyewe hampeani maneno makali mala huyu atakuwa malaya mara anaishi uswazi mara sijui nini hamuoni kwamba sio vizuri
wengi hapa tuna jua mwanamke kama hujatongozwa wala huoni vizuri iwe kwa wiki mwezi au mwaka.sasa wengine hawapendi eti wanaangalia status ya mtu kwani nani alisema houseboy hana feelings?
hakuna watu walipata story mtoto wa kigogo hapa bongo kaolewa na houseboy wao na badae kampeleka shule na sasa anafanya kazi huku akiendelea kujiendeleza?
mbona sie hapa kwetu tunaingia kwenye jf hadi na hg na hboy wetu na wote wanajiita magreat thinker hiyo ni kwa taarifa ya wote tu.watu wacomment lakini wawe wakweli sababu mnajuana kwa sura hakuna hata siku moja mdada wa humu au mkaka wa humu atasema nimulala na housegirl or boy naomba ushauri ila ambaye hajulikani atauliza tu. strength na weakness za topic sio kusema mwenzenu mtoto au anakaa uswaz. by the way ur the one of my best commentor in this forum
naomba kuwakilisha hoja
Dinna ungejua watu wanaojuana wanavyopeana madongo usingesema, na ndio maana unaona watu huwa hawakurupuki kuanzisha thread hovyo kwani wanajua ni nini kitawapata. Kwa upande wangu hata kama nakujua nishawahi kukuona ukivurunda humu nakugonga za uso hata mimi naruhusu mtu afanye hivyo kwangu. Kujuana na kuelimishana havichangamani mpenzi. Na kuhusu suala la houseboy assume wewe una mume na mnaheshimiana vzr tu halafu anatokea houseboy wenu anakutongoza kwa hiyo we utachukulia poa tu kwa sababu nae ana feeling au hebu nieleweshe kidogo mpendwa