Wiki nzima bila kutongozwa

Wiki nzima bila kutongozwa

:shock: kwa mpango huu itatuchukua muda mrefu kupambana na janga lileee.....
 
CAN YOU WALK OUT OF THIS?

images

Show them haters,what my mama gave me.........and what you have got!!!😛layball:
 
FATHER ENOCK NIMEKUPATA USHAURI WAKO UNATOSHA KABISA MMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMM:behindsofa:
 
Ukijichunguza vizuri utakuta una pepeo la ngono
NJOO HUKU UOMBEWE.
 
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.

Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.

Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?

Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)
You are either idle or :A S confused:, or :crazy:......! Haya yote ni adhari za kukosa ajira....! Tafadhali, fanya yafuatayo;

  1. Jitongoze.....
  2. Mfuate mwanaume na umwambie "nitongoze".....
  3. Tafuta kazi na uwe busy the whole day....
  4. Come to JF, and start to pm men...., bila shaka utatongozwa...
 
Back
Top Bottom