Wiki sasa sina amani

Wiki sasa sina amani

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
19,644
Reaction score
40,546
Habari za muda huu ndugu zangu,

Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.

Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.

Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..

Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.

Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..

Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.

Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?

Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...

Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...

Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA

MREJESHO wakuu .... Nipo salama salimini na nimepima kipimo cha damu kubwa...
 
Habari za mda huu ndugu zangu,

Acha wasiwasi mkuu.Ni mambo ya vidonda vya tumbo tu.Na anaviweka chini ili vipate ubaridi na matunzo mazuri.Furahia life mkuu!
 
Kama anat
Habari za mda huu ndugu zangu,

Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.

Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.

Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..

Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.

Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..

Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.

Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?

Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...

Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...

Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Kama anatumia dawa Kwa usahihi, hawezi kukuambukiza, pia wapo watu wasio weza kupata maambukizi lakini Hawa watu ni adimu kama almasi.....Tuliza akili uamue Kwa hekima......
 
𝙒𝙚𝙬𝙚 𝙣𝙞 𝙈𝙚 𝙤𝙧 𝙆𝙚?? 𝙃𝙖𝙮𝙤 𝙈𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙮𝙖𝙥𝙤 𝙎𝙖𝙣𝙖 𝙨𝙞𝙠𝙪 𝙝𝙯 𝙘𝙝𝙖 𝙢𝙨𝙞𝙣𝙜𝙞 𝙣𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙠𝙖𝙥𝙞𝙢𝙚 𝙩𝙚𝙣𝙖 𝙆𝙞𝙢𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙢𝙮𝙖 𝙗𝙖𝙖𝙙𝙖 𝙮𝙖 𝙝𝙖𝙥𝙤 𝙣𝙙𝙞𝙤 𝙪𝙩𝙖𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙟𝙞𝙗𝙪 𝙮𝙖 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙚..

𝙆𝙬𝙖 𝙢𝙬𝙖𝙣𝙖𝙪𝙢𝙚 𝙞𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙚𝙠𝙖𝙣𝙖 𝙎𝙖𝙣𝙖 𝙬𝙚𝙬𝙚 𝙠𝙪𝙗𝙖𝙠𝙞 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢𝙖 𝙝𝙖𝙩𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙢𝙠𝙚𝙊 𝙖𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙢𝙗𝙪𝙠𝙞𝙯𝙞!! 𝘾𝙝𝙖 𝙢𝙨𝙞𝙣𝙜𝙞 𝙣𝙞 𝙠𝙬𝙖𝙣𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙞𝙢𝙖 𝙩𝙚𝙣𝙖 𝙝𝙤𝙨𝙥𝙞𝙩𝙖𝙡 𝙣𝙮𝙞𝙣𝙜𝙞𝙣𝙚 𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙖𝙬𝙖𝙡𝙞 𝙠𝙪𝙨𝙝𝙞𝙧𝙞𝙠𝙞 𝙩𝙚𝙣𝙙𝙤 𝙠𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙨𝙖 𝙨𝙞𝙤 𝙢𝙪𝙝𝙞𝙢𝙪 𝙩𝙚𝙣𝙖 𝙄𝙡𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙢𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙤𝙩𝙤 𝙣𝙖𝙤 𝙠𝙖𝙬𝙖𝙥𝙖𝙞𝙢𝙚 𝙪𝙟𝙪𝙚 𝙝𝙖𝙡𝙄 𝙯𝙖𝙤.
𝙆𝙖𝙢𝙖 𝙬𝙖𝙥𝙤 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢𝙖 𝙣𝙖𝙬𝙚 𝙪𝙥𝙤 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢𝙖 𝙝𝙞𝙞 𝙞𝙩𝙖𝙠𝙪𝙨𝙖𝙞𝙙𝙞𝙖 𝙠𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙈𝙖𝙖𝙢𝙪𝙯𝙞 𝙮𝙖 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙠𝙞𝙛𝙖𝙣𝙮𝙞𝙠𝙚!!
𝙎𝙪𝙖𝙡𝙖 𝙇𝙖𝙠𝙤 𝙣𝙞 𝙜𝙪𝙢𝙪 𝙎𝙖𝙣𝙖 𝙄𝙡𝙖 𝙝𝙖𝙮𝙤 𝙣𝙙𝙞𝙤 𝙈𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙮𝙖 𝙖𝙬𝙖𝙡𝙞 𝙩𝙝𝙚𝙣 𝙪𝙠𝙞𝙨𝙝𝙖𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙢𝙖𝙟𝙞𝙗𝙪 𝙠𝙖𝙧𝙞𝙗𝙪 𝙠𝙬𝙖 𝙪𝙨𝙝𝙖𝙪𝙧𝙞 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙠𝙞𝙛𝙖𝙣𝙮𝙞𝙠𝙚..
𝙉𝘽;𝙆𝙖𝙢𝙖 𝙪𝙣𝙖𝙟𝙪𝙖 𝙈𝙤𝙮𝙤 𝙬𝙖𝙠𝙤 𝙝𝙖𝙪𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙠𝙪𝙖𝙘𝙝𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖𝙮𝙚 𝘼𝘾𝙃𝘼𝙉𝘼 𝙉𝘼 𝙈𝘼𝙈𝘽𝙊 𝙔𝙊𝙏𝙀 𝙀𝙉𝘿𝙀𝙇𝙀𝙀𝙉𝙄 𝙉𝘼 𝙈𝘼𝙄𝙎𝙃𝘼 𝙏𝙐. 𝙆𝙬𝙖𝙣𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙜𝙖𝙥𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙠𝙪𝙛𝙖 𝙠𝙬𝙖 ajali😌😌
 
Mkuu now nipo stressed sana...
Mkuu nipo kipindi cha majuto..
Nawaza kwenda kupima ila naona kupima nitajimaliza kabisa.

Nimekua nae huu ni mwezi wa pili sasa nakula tuu sijali wala nini..
Leo naona ishu kama hiyo alafu useme naweza nisipate
 
𝙒𝙚𝙬𝙚 𝙣𝙞 𝙈𝙚 𝙤𝙧 𝙆𝙚?? 𝙃𝙖𝙮𝙤 𝙈𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙮𝙖𝙥𝙤 𝙎𝙖𝙣𝙖 𝙨𝙞𝙠𝙪 𝙝𝙯 𝙘𝙝𝙖 𝙢𝙨𝙞𝙣𝙜𝙞 𝙣𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙠𝙖𝙥𝙞𝙢𝙚 𝙩𝙚𝙣𝙖 𝙆𝙞𝙢𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙢𝙮𝙖 𝙗𝙖𝙖𝙙𝙖 𝙮𝙖 𝙝𝙖𝙥𝙤 𝙣𝙙𝙞𝙤 𝙪𝙩𝙖𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙟𝙞𝙗𝙪 𝙮𝙖 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙚..

𝙆𝙬𝙖 𝙢𝙬𝙖𝙣𝙖𝙪𝙢𝙚 𝙞𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙚𝙠𝙖𝙣𝙖 𝙎𝙖𝙣𝙖 𝙬𝙚𝙬𝙚 𝙠𝙪𝙗𝙖𝙠𝙞 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢𝙖 𝙝𝙖𝙩𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙢𝙠𝙚𝙊 𝙖𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙢𝙗𝙪𝙠𝙞𝙯𝙞!! 𝘾𝙝𝙖 𝙢𝙨𝙞𝙣𝙜𝙞 𝙣𝙞 𝙠𝙬𝙖𝙣𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙞𝙢𝙖 𝙩𝙚𝙣𝙖 𝙝𝙤𝙨𝙥𝙞𝙩𝙖𝙡 𝙣𝙮𝙞𝙣𝙜𝙞𝙣𝙚 𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙖𝙬𝙖𝙡𝙞 𝙠𝙪𝙨𝙝𝙞𝙧𝙞𝙠𝙞 𝙩𝙚𝙣𝙙𝙤 𝙠𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙨𝙖 𝙨𝙞𝙤 𝙢𝙪𝙝𝙞𝙢𝙪 𝙩𝙚𝙣𝙖 𝙄𝙡𝙖 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙢𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙤𝙩𝙤 𝙣𝙖𝙤 𝙠𝙖𝙬𝙖𝙥𝙖𝙞𝙢𝙚 𝙪𝙟𝙪𝙚 𝙝𝙖𝙡𝙄 𝙯𝙖𝙤.
𝙆𝙖𝙢𝙖 𝙬𝙖𝙥𝙤 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢𝙖 𝙣𝙖𝙬𝙚 𝙪𝙥𝙤 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢𝙖 𝙝𝙞𝙞 𝙞𝙩𝙖𝙠𝙪𝙨𝙖𝙞𝙙𝙞𝙖 𝙠𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙈𝙖𝙖𝙢𝙪𝙯𝙞 𝙮𝙖 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙠𝙞𝙛𝙖𝙣𝙮𝙞𝙠𝙚!!
𝙎𝙪𝙖𝙡𝙖 𝙇𝙖𝙠𝙤 𝙣𝙞 𝙜𝙪𝙢𝙪 𝙎𝙖𝙣𝙖 𝙄𝙡𝙖 𝙝𝙖𝙮𝙤 𝙣𝙙𝙞𝙤 𝙈𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙮𝙖 𝙖𝙬𝙖𝙡𝙞 𝙩𝙝𝙚𝙣 𝙪𝙠𝙞𝙨𝙝𝙖𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙢𝙖𝙟𝙞𝙗𝙪 𝙠𝙖𝙧𝙞𝙗𝙪 𝙠𝙬𝙖 𝙪𝙨𝙝𝙖𝙪𝙧𝙞 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙠𝙞𝙛𝙖𝙣𝙮𝙞𝙠𝙚..
𝙉𝘽;𝙆𝙖𝙢𝙖 𝙪𝙣𝙖𝙟𝙪𝙖 𝙈𝙤𝙮𝙤 𝙬𝙖𝙠𝙤 𝙝𝙖𝙪𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙠𝙪𝙖𝙘𝙝𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖𝙮𝙚 𝘼𝘾𝙃𝘼𝙉𝘼 𝙉𝘼 𝙈𝘼𝙈𝘽𝙊 𝙔𝙊𝙏𝙀 𝙀𝙉𝘿𝙀𝙇𝙀𝙀𝙉𝙄 𝙉𝘼 𝙈𝘼𝙄𝙎𝙃𝘼 𝙏𝙐. 𝙆𝙬𝙖𝙣𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙜𝙖𝙥𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙠𝙪𝙛𝙖 𝙠𝙬𝙖 ajali😌😌
Asante mkuu kwa ushauri wako..
Na nakuahidi taufanyia kazi mkuu 🙏🙏🙏🙏
 
Watu wengi siku hizi wenye HIV ukiongea nao wana maneno positive sana juu ya kujikinga na HIV, kama kupima, kutumia mpira sasa ukijichanganya tu imekula kwako
Mkuu acha tuu najuta sasa ...
Kwa maneno yale nilijua kabisa ni mtu wa kujali afya yake .

Na ndani ana vipimo vile vidogo kibao mkuu sasa nashangaa kwa kweli how
 
Umenikumbusha Kuna dada mmoja muuza uji mtaani nilikua namzimia kinoma sasa mi siyo mpenzi wa uji lakini nikaanza tabia ya kunywa uji kila siku siku moja nimempa hela nimesimama nae karibu akafungua pochi yake ili anipe chenji eeh bana wee si nikaona kikopo cha ARV
Nilipiga zile breki za katuni
 
Umenikumbusha Kuna dada mmoja muuza uji mtaani nilikua namzimia kinoma sasa mi siyo mpenzi wa uji lakini nikaanza tabia ya kunywa uji kila siku siku moja nimempa hela nimesimama nae karibu akafungua pochi yake ili anipe chenji eeh bana wee si nikaona kikopo cha ARV
Mkuu huyo alikua mzembe kuficha au aliweka makusudi uogope tu..

Hivo vitu wanaficha sana aiseee an hata mda anachoma moto yale makablasha yake ngumu sana kujua aiseeee
 
Back
Top Bottom