Wiki sasa sina amani

Wiki sasa sina amani

Habari za muda huu ndugu zangu,

Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.

Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.

Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..

Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.

Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..

Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.

Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?

Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...

Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...

Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Sema hapo kwa vile umejua ishia hapo hapo ila ni kweli kabisa hawezi kukuambuzika kama unacheza salama i mean haufukui mitaro na faulo zingine
 
Ndio mkuu sina hizo tabia..
Ila sijawahi tumia kinga kabisa kila siku...

Kingine mkuu naona hii doze kila siku usiku anatumia ila aliniambia ni ya vidonda vya tumbo.

Kuhusu kutumia yupo strictly sana
 
Habari za muda huu ndugu zangu,

Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.

Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.

Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..

Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.

Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..

Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.

Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?

Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...

Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...

Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Lengo la kukwambia ukapime anataka ajue status yako ili aweze kukulinda
 
Mkuu acha tuu najuta sasa ...
Kwa maneno yale nilijua kabisa ni mtu wa kujali afya yake .

Na ndani ana vipimo vile vidogo kibao mkuu sasa nashangaa kwa kweli how
Mimi kuna mmoja alisema tukapime, nilipofika hospital nampigia anaongea maneno yasioeleweka, nilipokutana nae anasema kuna mwalimu anamtaka na waliwahi kwenda wote kupima yeye na huyo sir teacher walikua salama ila hakutaka kumpa k yake. Akili ikanicheza huyu anataka nijichanganye
 
Kabisa mkuu.Maana kukwepa changamoto ni kuzalisha matatizo.Nyanyuka ukapime kama afya yako ina mushkeli kidogo.Kukaa tu kusubiri kudra za Mungu haujitetendei haki.Wakati ni huu wa kuonesha wewe ni "Bright-brain"!
Mkuu hapa nitasema nitaenda kupima ila in reality hiko kitu siwezi

Napata visavingi sana kwa watu ambao wanaenda kupima na kujulikana ni positive..

Happ ndipo huanza kuwa weak kabisa..
 
Back
Top Bottom