Wiki sasa sina amani

Wewe kweli ni Poor Brain!
 
Kapime wewe huo wasiwasi ndo utakuwa sasa
 
They are very serious kea suala la kupima ila deep down ndo hvo
 
Kupima ulienda?

Sina hakika ila wanasima kama anatumia dawa kwa asilimia zote chance ya kumuambukiza mwingine hupungua sana.

Kapime tu mkuu.. ikitokea umepata ni kukubalina na hali hakuna jinsi. Mbona yy anaishi...
 
Kama amekuwa mwaminifu kumeza wanasema uwezekano wa kuambukiza ni negligible, kuwa na amani mkuu. Changamoto ni namna ambavyo mtu anakula dawa kwa siri na mnajifunika shuka moja.
Mkuu unalala na nyoka kabisa an..
🥺 Nawaza sana hapa hizo homa homa zikianza aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…