Wiki sasa sina amani

Wiki sasa sina amani

Mzee hauna haja ya kuogopa, kwa anaetumia dawa za ARV si rahisi kukupa maambukizi sababu kama ni mtumiaji mzuri kuna wakati ufika 0%

Taabu ni yule ambae hajui kama anaugua, halafu kumbe tayari ni muathirika halafu unapita nae
 
Daaah mkuu jibu kama hili nimesubiri sana kwa mda mrefu...

Je unazani hapa kuna haja ya kupima ?
Je niendelee nae au ..?
 
Habari za muda huu ndugu zangu,

Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.

Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.

Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..

Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.

Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..

Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.

Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?

Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...

Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...

Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Babu shikamoo🙏🙏🙏🙏🙏.

Usiwe na hofu babu upo salama kwasababu mbili kuu;
1)Kama alianza kutumia anti retro virus drugs miezi sita ilopita inamaana virol rods watakua wapo chini yani diminished,na watakua wamezuiwa kufanya replication,hivyo kuna slightest chance ya kupata maambukizi.
2)Pia huwenda binti ni carrier,carrier huwa anaweza akapatwa na ugonjwa ila yeye hawezi kuambukiza huo ugonjwa kwasababu kuu moja,mfano kwenye HIV wale virus huji attach kwenye CD4 cells,sasa kama CD4 za huyo muhusika zikikosa attachment wale virus wanakosa pa kujishikiza.
Hivyo kuambukiza inakua ni ngumu.

Ila kama ulikutana naye ndani ya masaa 72 nenda kapime kesha omba PEP ama wanasema pre exposure.
Utapewa vidonge vya kumeza siku 30 basi utazuia maambukizi.
Kama masaa 72 yamepita jaribu bahati hivyo hivyo tu wakupe vidonge baada ya kupima vya siku 30 virus wakiwa bado hawajaanza replication wanakua bado hawana nguvu wala kasi ya maambukizi hivyo ni rahisi kuwaua.
 
Nipo nae miezi miwili mkuu imagine that situation....!
 
Habari za muda huu ndugu zangu,

Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.

Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.

Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..

Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.

Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..

Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.

Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?

Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...

Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...

Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Usiwe na pressure kijana kama anatumia dawa zake vizuri ..... virus huwa vinaishiwa nguvu na kuwa non detectable hata akipima vinakuwa havioneshi kwenye vipimo yaani hapo dawa katumia vizuri viral load mwilini inakuwa ndogo

Sasa basi akiwa katika hali hii viral load kuwa ndogo mwilini basi hata kuambukiza mtu mwingine inakuwa hawezi .....so punguz wasiwasi kidogo pima kisha kaa nae kikao mjue inakuwaje
 
Asante mkuu kwa ushauri wako...
Japo kupima kwangu imekua changamoto.

Unajua kupima inaweza ikawa inaogopesha zaidi kwangu kuliko huo ugonjwa wenyewe ..
 
Back
Top Bottom