Wiki sasa sina amani

Asante mkuu kwa ushauri wako...
Japo kupima kwangu imekua changamoto.

Unajua kupima inaweza ikawa inaogopesha zaidi kwangu kuliko huo ugonjwa wenyewe ..
Kupima kawaida tu ....pima ujue afya tu ila kupata ukimwi kwa mtu anatumia dawa vizur ni ngumu....

Pima ujue afya kama utakuwa hauna utakaa kikao na mpenzi wako ili kuanza kujua ratiba zake za dawa na kumtia moyo

Kama ukikutwa nao na we unaanza dawa ila afya yako iwe sawa maana kuchelewa kuanza dawa ni hatari kwa afya yako

Good news ni kwamba hata ukiwa nao ukimwi uko mwishoni sana tiba yake baada ya miaka kumi hivi itakuwa iko mitaani
 
Asilimia za wewe kuathirika ikiwa anatumia dawa kwa umakini na ufuatiliaji mzuri ni ndogo mno ,narudia ndogo mno ila Sasa fanya jambo moja ,Pima alafu Pima tena baada ya miezi mitatu hapa Kati usikutane naye ukiwa salama ,usimuache unaweza kuishi na muathirika vizuri tu ila ukijikita tayari usipaniki bado unayo nafasi ya maisha .

Nitakuwepo hapa kukushauri kwa chochote na kuwa msaada kwa lolote .
Pole sana jiamini
 
Sio alinidanganya vile sio vidonge vya vidonda vya tumbo mkuu....

Why alifanya hivi mtu nakaa nae mda wote kumbe nia yake ani angamize kimya kimya
Akuangamizaje kimya kimya bwana, kwani unafikiri yeye alizalowa nao? La msingi we nenda kapime ili kama uko ok uchukue tahadhari zaidi na kama sio poa basi uanze dozi pia. La msingi hakuna atakayeishi milele hapa duniani so acha uoga ukidhani HIV ndio kitu pekee kinachoua duniani. Uzuri siku hizi ngoma haina tena yale sijui majipu/vipele au kukonda mifupa so utaishi poa kabisa tena ukifata masharti vizuri utatoboa hata 70+ huko then you die naturally
 
Duuuh unajua kupima bana weee acha tuu...


Nimekaa miezi sasa nipo poa kwani mdudu si anawza kuonekana baada ya mwezi tu mkuu
 
Asante sana mkuu
 
Ushauri mzuri Ila jina lako halionyeshi matumani MENEMENE TEKELI PELESI
 
kasaliti NoFapper huyo, muache apate somo
Nofap ni dawa mkuu nenda youtube.com ujione akina Elon Musk, walivyo akili.

Kimsingi ukimwaga mbegu zako uwezo wakufikiri unapungua na nguvu za mwili pia, halafu pia hata nguvu za asili yaani kiroho zinaisha
 
Nofap ni dawa mkuu nenda youtube.com ujione akina Elon Musk, walivyo akili.

Kimsingi ukimwaga mbegu zako uwezo wakufikiri unapungua na nguvu za mwili pia, halafu pia hata nguvu za asili yaani kiroho zinaisha
NoFapper wa mchongo wewe, unamendea vipochi kibao humu na chamazi
 
Pole sana Mkuu, kama una damu group O unaweza kunusurika

Bila shaka huyo ni binti wa Mwaka 2000

Hao wengi ni risk taker, na wanacheza miguu yote kama CR7, vyema kupima nao mara tatu kabla hujaenda nao otherwise vaa helmet
 
Mkuu Huyo Alidhamiria Kukuua Umeshaliwa Kichwa Na Israeli kwa Kujitakia. Anyway kuna kisa nimewahi kukisikia cha jirani X hapa mtaani Alikuwa civil engineer mzee alipojua kaukwaa hakutaka kamwe aulete nyumbani hapo walikuwa wamebarikiwa mtoto mmoja na hakuongeza mwingine labda huko nje. Huyo mzee alishafariki kamwacha mkewe na mwanawe wanafaidi maisha. Sisi tunaweza?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…