Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.
Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Kwa hiyo unaamanisha bidhaa zinazoagizwa kutoka nje bei yake haitamuathiri mtumiaji?Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.
Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.
Unasema kama siyo mchumi! Importation na exportation zote zinategea rate hiyo. Hivyo lazima bei za bidhaa zitapandaThamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.
Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.
Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.
Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Wewe kweli kilaza ujielewi umeandika utumboThamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.
Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.
Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.
Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Sasa hv tunauhaba wa sukari hvyo tunaagiza kutoka nje, kama mwezi Jana nilinunua sukari nje kwa ajili ya kuiingiza nchini 1kg kwa Tsh 1,800/= Sasa nanunua kwa Tsh 2,500/= hii sio effect ya Moja kwa Moja kwa mwanachi wa kawaida.Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.
Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.
Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.
Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Una bahati yaani sukari 2500 unalalamika?Sasa hv tunauhaba wa sukari hvyo tunaagiza kutoka nje, kama mwezi Jana nilinunua sukari nje kwa ajili ya kuiingiza nchini 1kg kwa Tsh 1,800/= Sasa nanunua kwa Tsh 2,500/= hii sio effect ya Moja kwa Moja kwa mwanachi wa kawaida.
Wewe mchumi mwaga nondoWewe kweli kilaza ujielewi umeandika utumbo
Chawa wanasema anaupiga nwingi na hajatokrmea mwingine katika historia kwa maendeleo.Kwa utawala huu sio shilingi tuu lakini mfumo mzima wa uchumi utaendelea kwenda chini Kila siku
Sikujua kama fedha ya ug iko juu ya tshThamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.
Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.
Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.
Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Daah nimecheka sana sijui umefikiri nini Mkuu..Mbinu bora ni kutembea na Li-skafu lenye bendera ya Tanzania shingoni.
Source?Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.
Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Unaweza mlaumu Mwigulu mambo mengine ila sio Hela yetu vs Kenya, wakati Mwigulu anachukua hio nafasi ksh 1 ilikua tsh 22, hela ya Tanzania ilipanda sana against kenya na watu wengi Nawafahamu wamepiga pesa ya kutosha kwa kununua vitu kenya.Mwigulu pale hamna kitu.. Anaacha kuweka watu wenye uzoefu wa muda mrefu kwenye sekta za kifedha na uchumi anakuja kuweka wapiga kelele na wabobezi kwenye ushirikina
Lazima wasifie Sana kwa sababu wana chota na kujibweda tuu kwa kadri wanavyo pendaChawa wanasema anaupiga nwingi na hajatokrmea mwingine katika historia kwa maendeleo.
Madelu anasema so long as kuna gari nyingi namba E barabarani, harusi zenye nyomi kwa wingi na mnajazana kwenye shopping malls hizo ni alama za uchumi imara.Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.
Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi