Bro shilingi ya Tanzania ni kubwa kwa shilingi ya Uganda.Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.
Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.
Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.
Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.