Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

Madelu anasema so long as kuna gari nyingi namba E barabarani, harusi zenye nyomi kwa wingi na mnajazana kwenye shopping malls hizo ni alama za uchumi imara.

Hilo la kushuka thamani kwa sarafu si tatizo kwa serikali hii inayotetemekewa kwa furaha na kila mwananchi.

Au siyo ndugu Lucas mwashambwa na ChoiceVariable ?🤣🤪
Acha kukurupuka ,soma comment yangu hapo Juu kuhusu Hilo.

Tangu lini kushuka Kwa thamani ya Shilingi kumezuia maendeleo ikiwemo kupata maji,umeme na ugali?
 
Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.

Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Chanzo chako cha taarifa ni kipi? Umeandika upotoshaji mtupu. Tangu lini shilingi ya Uganda ni bora kuliko ya Tanzania? Halafu naona kuna nyumbu zinakupa sapoti.
 
Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.

Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.

Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.

Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Haki ya Mungu Wallah Mungu anakuona.
Ina athari. Mfano dolla kama ilikuwa 2400 now 2600 ina maana kama nilikuwa nikitaka kwenda china kufauta mzigo, nikihitaji dollar 10000, nilikuwa ninatumia milioni 24 sasa nitatumia milioni 26. Maana yake ni kwamba nikiuleta nitaongeza bei ili kufidia hilo ongezeko.
Mwananchi atanunua bidhaa zikiwa zimepanda halafu wewe unasema haina athari.
Mimi kwa sababu si mzalendo na nina maslahi na shilingi ya Kenya kustabilize against TZ, kwangu ni faraja ila ukweli effect ipo.
And shilingi ya Uganda haijawahi kuwa an thamani zaidi ya shilingi ya TZ mkuu.
 
Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.

Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
-302725022.jpg
 
Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.

Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.

Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.

Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Yawezekana kabisa wewe ni msomi wa uchumi kutoka UDSM na Wala haujui ulichokisoma

Yani kuporomoka Kwa sarafu yetu hakuna tatizo Kwa wananchi?

Wakati tunanunua mafuta Kwa bei ya juu Kwa sababu shilimgi yetu imeporomoka alafu wewe unasema Haina shida
 
Unaweza mlaumu Mwigulu mambo mengine ila sio Hela yetu vs Kenya, wakati Mwigulu anachukua hio nafasi ksh 1 ilikua tsh 22, hela ya Tanzania ilipanda sana against kenya na watu wengi Nawafahamu wamepiga pesa ya kutosha kwa kununua vitu kenya.
Kwani ni Kenyan shilling tu?? Almost every currency inaaprreciate against ours. Mwigulu kichwa maji uchumi wa kukariri darasani field sifuri na blah blah nyingi.

Iko siku majuzi tu hapa Kimei alitoa lecture ya Uchumi pale bungeni mpaka wabunge wakamuongeza muda aendelee na darasa. That was a message kwa muhimili uliojikita chini, Mwigulu ni mpiga kelele tu.
 
Yawezekana kabisa wewe ni msomi wa uchumi kutoka UDSM na Wala haujui ulichokisoma

Yani kuporomoka Kwa sarafu yetu hakuna tatizo Kwa wananchi?

Wakati tunanunua mafuta Kwa bei ya juu Kwa sababu shilimgi yetu imeporomoka alafu wewe unasema Haina shida
Masisitiza hakuna shida yeyote ya maana zaidi ya hicho nimekieleza hapo Juu.

Sarafu hii imeanza Kuporomoka Toka awamu ya kwanza Hadi Leo hii ilaumeona imezuia nini hasa kupatikana?

Pili ,Sarafu ya Tanzania vs Kenya ilikuwa kati ya 19-21 Kwa miaka Mingi sana so hapa imerejea kwenye viwango vyake vya siku zote.
 
Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.

Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Tupe dhidi ya USD , ilikuwaje?
 
Hiyo imeshajifia miaka na inazidi kufa kibudu...mkenya akija tanzania kuspend akibeba laki 3 ya kwao hamalizi mpka anarudi kwao
 
Kati ya Mkenya na Mtanzania wakiwa na pesa yenye thamani sawa katika nchi zao husika ni nani ana purchasing power kubwa katika kupata bidhaa na huduma?
 
Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.

Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Uchumi upo vizuri. Watu tunanunua magari, foleni bank za kufa mtu. Harusi zinajaa, bars na guest houses zinajaa. Hayo mengine ni minor things.
 
Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.

Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.

Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.

Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Hivi CCM huwa wanatoa wapi takataka kama hizi kuwa chawa wa mama?
 
Back
Top Bottom