ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Acha kukurupuka ,soma comment yangu hapo Juu kuhusu Hilo.Madelu anasema so long as kuna gari nyingi namba E barabarani, harusi zenye nyomi kwa wingi na mnajazana kwenye shopping malls hizo ni alama za uchumi imara.
Hilo la kushuka thamani kwa sarafu si tatizo kwa serikali hii inayotetemekewa kwa furaha na kila mwananchi.
Au siyo ndugu Lucas mwashambwa na ChoiceVariable ?🤣🤪
Hujui hata unaongea kitu gani...Tangu lini kushuka Kwa thamani ya Shilingi kumezuia maendeleo ikiwemo kupata maji,umeme na ugali?
Chanzo chako cha taarifa ni kipi? Umeandika upotoshaji mtupu. Tangu lini shilingi ya Uganda ni bora kuliko ya Tanzania? Halafu naona kuna nyumbu zinakupa sapoti.Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.
Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Haki ya Mungu Wallah Mungu anakuona.Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.
Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.
Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.
Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.
Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
[emoji16][emoji16]Acha kukurupuka ,soma comment yangu hapo Juu kuhusu Hilo.
Tangu lini kushuka Kwa thamani ya Shilingi kumezuia maendeleo ikiwemo kupata maji,umeme na ugali?
Yawezekana kabisa wewe ni msomi wa uchumi kutoka UDSM na Wala haujui ulichokisomaThamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.
Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.
Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.
Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Kwani ni Kenyan shilling tu?? Almost every currency inaaprreciate against ours. Mwigulu kichwa maji uchumi wa kukariri darasani field sifuri na blah blah nyingi.Unaweza mlaumu Mwigulu mambo mengine ila sio Hela yetu vs Kenya, wakati Mwigulu anachukua hio nafasi ksh 1 ilikua tsh 22, hela ya Tanzania ilipanda sana against kenya na watu wengi Nawafahamu wamepiga pesa ya kutosha kwa kununua vitu kenya.
Masisitiza hakuna shida yeyote ya maana zaidi ya hicho nimekieleza hapo Juu.Yawezekana kabisa wewe ni msomi wa uchumi kutoka UDSM na Wala haujui ulichokisoma
Yani kuporomoka Kwa sarafu yetu hakuna tatizo Kwa wananchi?
Wakati tunanunua mafuta Kwa bei ya juu Kwa sababu shilimgi yetu imeporomoka alafu wewe unasema Haina shida
Tupe dhidi ya USD , ilikuwaje?Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.
Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Inasikitisha sanaMbinu bora ni kutembea na Li-skafu lenye bendera ya Tanzania shingoni.
Hiyo imeshajifia miaka na inazidi kufa kibudu...mkenya akija tanzania kuspend akibeba laki 3 ya kwao hamalizi mpka anarudi kwaoHali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.
Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Nikupe Tsh unitafutie ksh kwa hyo Bei huko n kwa watunga sera kama vp fungua exchange rate za bank uone maana hao ndio wenye pesa
Uchumi upo vizuri. Watu tunanunua magari, foleni bank za kufa mtu. Harusi zinajaa, bars na guest houses zinajaa. Hayo mengine ni minor things.Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.
Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Hivi CCM huwa wanatoa wapi takataka kama hizi kuwa chawa wa mama?Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.