Bro shilingi ya Tanzania ni kubwa kwa shilingi ya Uganda.Thamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.
Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.
Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.
Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
Uzushi sio mzuri,nenda soko rasmiHali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana.
Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na hili hasa kipindi hiki tusije tukafika kubaya zaidi
Unaelewa maana ya shilingi kuimarika zaidi ya nyingine yaan inapunguza gape la thamani.
Jitambue kilaza wewe!
Inasubiria uwezeshwe badala ya kujiwezesha? Wajamaa banaUnaweza kuzalisha halafu wakenya wasinunue.
sema angalia kile unanuaga sana kutoka kenya,ndiyo ukizalishe ili uuze ndani.unaweza kuta tunahangaika na maziwa ya kenya badala ya kuwawezesha wawekezaji kwenye ufugaji wa tija na viawanda vya maziwa vikapewa ruzuku.
Yaani soln ni kuwekeza kimkakati zaidi.
sasa unakuta mmsai anakamua lita kumi za maziwa kutoka kwenye ngombe 20
Hii sio sababu .....huwezi kwepa huduma
Solution ni kuzalisha sana ili tuuze kenya tukiuza kenya tunakuwa na akiba kubwa ya pesa yao
Kinachotucost sisi tunanunua tu bila kuuza
Ndio maana sio kenya tu mpaka dollar inapanda balaa dhidi ya shilingi yetu..
Bro hizo zilizoandikwq hapo sio realistic. Kama mbishi niletee dola 5,000 kwa exchange rate hiyo niko nitainunua.Uzushi sio mzuri,nenda soko rasmi
View: https://www.instagram.com/reel/C4XIwYXu7mv/?igsh=cXpoOXRtcnpma28y
Yanibhuyo unakuta ndo anakisemea chama.Kwa hiyo unaamanisha bidhaa zinazoagizwa kutoka nje bei yake haitamuathiri mtumiaji?
Chawa tikisa vizuri kichwa kabla kuandika
Tofautisha black market na official market ukienda banks inapewa Kwa hizo rates hapo ilaukienda huko vichochoroni lazima upigweBro hizo zilizoandikwq hapo sio realistic. Kama mbishi niletee dola 5,000 kwa exchange rate hiyo niko nitainunua.
Sio mepesi sema nafuu.Ndio maana nimewaoza watu ni lini walikosa ugali au maji Kwa sababu za exchange rates?Pamoja na thamani ya fedha ya Kenya kuwa juu ila Tanzania maisha ni mepesi. Nilikuwa Nairobi juzi, Watanzania tutembee kidogo tujionee hali halisi ya hawa tunaoambiwa wametuzidi.
Mepesi kulinganisha na Kenya boss.Sio mepesi sema nafuu.Ndio maana nimewaoza watu ni lini walikosa ugali au maji Kwa sababu za exchange rates?
Hiyo hainaga maana yeyote ya msingi kwenye uchumi,ni sawa na mambo ya inflation
Unaelewa maana ya black market?Tofautisha black market na official market ukienda banks inapewa Kwa hizo rates hapo ilaukienda huko vichochoroni lazima upigwe
Ina maana kaka tuulize sidi tunafanya biashara na nchi jiraniThamani ya Sarafu Haina maana yeyote kubwa kwenye uchumi wa Nchi na welfare.
Sana sana labda inaweza kuwa ni athari kwenye Nchi Kwa kuongeza deni la Serikali ila Kwa individual level hakuna issue sana.
Ndio maana pamoja na Sarafu ya Uganda,DRC,Burundi nk kuwa Juu ya Shilingi yetu ila hakuna kitu wametuzidi.
Mwisho sababu kubwa ni uhaba wa dollar au gedha zingine za kigeni.
ππππ nguvu unayoitumia hapa kwasasa, naamini hata miaka 10 ijayo utakuwa nayo. Chawa, ipo siku mtajutiaNdio yapo ,vipi wewe punguani mbona unapanic?
View: https://twitter.com/FMzaramu/status/1766741734380183982?t=Ggl6jxx5Uv5M0y57uGTKvQ&s=19
Ujutie Kwa lipi hasa wewe nyumbuππππ nguvu unayoitumia hapa kwasasa, naamini hata miaka 10 ijayo utakuwa nayo. Chawa, ipo siku mtajutia