La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 471
- 737
Huwa inatokea wala hadanganyiAcha kupotosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa inatokea wala hadanganyiAcha kupotosha
Acha kupotosha
Aisee usidanganye watu Duu kuna kesi ilitokea hospital flani mjazito miezi 9 ishafika yakujifungua manesi wanamrudisha nyumbani kisa uchungu bado. Unajua kilichotokea kila siku zinavoenda mbele mtoto alifariki na mjazito alikosa kizazi kabisa maana dogo aliharibu mpaka fuko la uzazi.Kawaida tu mkuu wala usipate hofu. 'matarajio' mara nyingine huwa wanakosea ku-approximate. Ongeza wiki moja mbele, mwambie mamaa aongeze mazoezi na pia nlisikia juisi ya mananasi inasaidia kuongeza uchungu.
Mama yangu aliniambiaga ujauzito wa kunizaa mimi aliubeba kwa miezi 12, imagine subira kiasi ilihitajika katika mtihani wake.
Usisahau na mambo kama haya[emoji4]Kuwa na amani baba kijacho, ni kawaida
View attachment 670044
Mdogo wangu alienifuatia alizaliwa 11 months na wa mwisho kabisa 10 months. I think mama yetu alikuwa na tatizo katika hormones zake.Aisee usidanganye watu Duu kuna kesi ilitokea hospital flani mjazito miezi 9 ishafika yakujifungua manesi wanamrudisha nyumbani kisa uchungu bado. Unajua kilichotokea kila siku zinavoenda mbele mtoto alifariki na mjazito alikosa kizazi kabisa maana dogo aliharibu mpaka fuko la uzazi.
Hospital umeenda umemface nani doctor,nesi ama reception ikipita week ya 42 jaribu kuongea na daktari husika ikizidi 43 ni hatari kwa afya ya mtoto na mama pia wazungu wanasema Unexpected problems might arise during labor.Hospital nimeenda nimeambiwa nitulie soon itakua Poa tu.
Lakini naona kama sio kweli hivi maana kesho linaanza wiki la 42 aiseee nadata kabisa
Mkuu miezi 40?[emoji115]Miezi 40 ndio hesabu kamili ya ujauzito, uchungu unaweza kutokea mda wowote kabla au baada. ...iwapo ni ujauzito wa kwanza na hakuna dalili Unapaswa kumpeleka hospitali awekwe chini ya uangalizi yeye na mtoto.
Ujauzito wa pili unaweza kwenda hadi wiki 41 ndio waanze uangalizi hospitali.
Inategemea na sheria za afya zinasemaje juu ya hilo hapo ulipo.
Ningekushauri umpeleke hospitali awe monitored, mama na mtoto.
Asante kwa kunisahihishaMkuu miezi 40?[emoji115]
Kuanzisha uchungu (induction of labour) endapo hakuna shida yoyote itakayomzuwia kujifungua kwa njia ya kawaida, au upasauaji kama ipo haja ya kufanya hivyo.Mfano hatua gani?
Mpeleke wakampige kisu mkuu ukute kuna tatizo tumboni wengine humu wanakupa ushaur tu lkn hawajui impacts ya mtoto kupitiliza akiwa tumboni
Jatua zinachukuliwa wiki ya 41 ikianza yaani 41+0/7 is indication for induction of labour. No need to wait end of 42 week. Maana ukianza 43W kunakuwa na increased chances of complication such as aspiration of meconium, CPD, Labour dystocia etc.Basi ikikamilika wiki ya 42 daktari atachukua hatua.
Nijuavyo mm a term pregnancy is anywhere kati ya 37-42wks. Hizo siku saba ulizosema ni judgement ya daktari. Kwa experience yangu mm kwa mimba ya kwanza wengi kujifungua 41+wks bila ya intervention yoyote.Jatua zinachukuliwa wiki ya 41 ikianza yaani 41+0/7 is indication for induction of labour. No need to wait end of 42 week. Maana ukianza 43W kunakuwa na increased chances of complication such as aspiration of meconium, CPD, Labour dystocia etc.
Haimaanishi mtu akichelewa wiki moja atapata complications, sema tu ni ile % ya uwezekano wa kupata complications inaongezeka.normally 1 week post EDD ambapo ni 41 + 0/7 baada ya hapo ambapo 42W inaanza we induce labour and if not successful in 24 hrs plan for C/s.Nijuavyo mm a term pregnancy is anywhere kati ya 37-42wks. Hizo siku saba ulizosema ni judgement ya daktari. Kwa experience yangu mm kwa mimba ya kwanza wengi kujifungua 41+wks bila ya intervention yoyote.
That's exactly what I'm saying, doctor will assess.Haimaanishi mtu akichelewa wiki moja atapata complications, sema tu ni ile % ya uwezekano wa kupata complications inaongezeka.normally 1 week post EDD ambapo ni 41 + 0/7 baada ya hapo ambapo 42W inaanza we induce labour and if not successful in 24 hrs plan for C/s.