Wiki ya 41 sasa mtoto hajazaliwa

Wiki ya 41 sasa mtoto hajazaliwa

Kawaida tu mkuu wala usipate hofu. 'matarajio' mara nyingine huwa wanakosea ku-approximate. Ongeza wiki moja mbele, mwambie mamaa aongeze mazoezi na pia nlisikia juisi ya mananasi inasaidia kuongeza uchungu.
Mama yangu aliniambiaga ujauzito wa kunizaa mimi aliubeba kwa miezi 12, imagine subira kiasi ilihitajika katika mtihani wake.
Aisee usidanganye watu Duu kuna kesi ilitokea hospital flani mjazito miezi 9 ishafika yakujifungua manesi wanamrudisha nyumbani kisa uchungu bado. Unajua kilichotokea kila siku zinavoenda mbele mtoto alifariki na mjazito alikosa kizazi kabisa maana dogo aliharibu mpaka fuko la uzazi.
 
Mdogo wangu alienifuatia alizaliwa 11 months na wa mwisho kabisa 10 months. I think mama yetu alikuwa na tatizo katika hormones zake.
 
Tarehe ya matarajio ina range kutoka wiki ta 37 had wiki ya 41 na siku 6. Kuanzia wiki ya 42 na kuendelea ndipo hatua mahususi inabid zichukuliwe.
Though, picha ya mtoto (ultrasound) inabid ifanyike kuconfirm huo umri na kungalia other parameters kama ziko OK.
 
Wiki 40 ndio hesabu kamili ya ujauzito, uchungu unaweza kutokea mda wowote kabla au baada. ...iwapo ni ujauzito wa kwanza na hakuna dalili Unapaswa kumpeleka hospitali awekwe chini ya uangalizi yeye na mtoto.

Ujauzito wa pili unaweza kwenda hadi wiki 41 ndio waanze uangalizi hospitali.

Inategemea na sheria za afya zinasemaje juu ya hilo hapo ulipo.

Ningekushauri umpeleke hospitali awe monitored, mama na mtoto.
 
Hospital nimeenda nimeambiwa nitulie soon itakua Poa tu.

Lakini naona kama sio kweli hivi maana kesho linaanza wiki la 42 aiseee nadata kabisa
Hospital umeenda umemface nani doctor,nesi ama reception ikipita week ya 42 jaribu kuongea na daktari husika ikizidi 43 ni hatari kwa afya ya mtoto na mama pia wazungu wanasema Unexpected problems might arise during labor.
 
Miezi 40 ndio hesabu kamili ya ujauzito, uchungu unaweza kutokea mda wowote kabla au baada. ...iwapo ni ujauzito wa kwanza na hakuna dalili Unapaswa kumpeleka hospitali awekwe chini ya uangalizi yeye na mtoto.

Ujauzito wa pili unaweza kwenda hadi wiki 41 ndio waanze uangalizi hospitali.

Inategemea na sheria za afya zinasemaje juu ya hilo hapo ulipo.

Ningekushauri umpeleke hospitali awe monitored, mama na mtoto.
Mkuu miezi 40?[emoji115]
 
huwa ni 2weeks ahead au before !bado yuko kwenye line !ondoa shaka !sema jaman kuchoka !jaman jaman !ukilala ubavu kugeuka ubavu had usaidiwe!jaman fanyeni yoote waheshimuni mama zenu !kha !
 
Basi ikikamilika wiki ya 42 daktari atachukua hatua.
Jatua zinachukuliwa wiki ya 41 ikianza yaani 41+0/7 is indication for induction of labour. No need to wait end of 42 week. Maana ukianza 43W kunakuwa na increased chances of complication such as aspiration of meconium, CPD, Labour dystocia etc.
 
Nijuavyo mm a term pregnancy is anywhere kati ya 37-42wks. Hizo siku saba ulizosema ni judgement ya daktari. Kwa experience yangu mm kwa mimba ya kwanza wengi kujifungua 41+wks bila ya intervention yoyote.
 
Haimaanishi mtu akichelewa wiki moja atapata complications, sema tu ni ile % ya uwezekano wa kupata complications inaongezeka.normally 1 week post EDD ambapo ni 41 + 0/7 baada ya hapo ambapo 42W inaanza we induce labour and if not successful in 24 hrs plan for C/s.
 
That's exactly what I'm saying, doctor will assess.
 
Daaaaah naona kama JF inakua ni zaidi ya mapindi ya Chuo hivi maana nimepata concepts hadi nimefarijika na nimekua normal kabisa .....

Asanteni sana wadau niwaahidi kuwa ntaleta mrejesho humu mungu akisaidia mke wangu kujifungua
 
Back
Top Bottom