Wiki ya Huduma kwa Wateja: Taasisi gani ina Huduma Nzuri kwa Wateja mpaka unatamani wengine wajifunze kwao?

Wiki ya Huduma kwa Wateja: Taasisi gani ina Huduma Nzuri kwa Wateja mpaka unatamani wengine wajifunze kwao?

Majanga wote japo.nssf kidogo naona wameanza kubadilika.
Mara wakupe karatasi ujaze unaonaje huduma zao n.k
Wanajitahidi, ila KINACHO WAANGUSHA NI TECHNILOGIA.. Tunataka wahifadhi taarifa zote za wafanyakazi wanao changia kwa data base. Barua ya ajira na kila kitu (wapate kwa HR wafanyakazi walipo) Mfanyakazi akitaka chochote kwao atakiwe kwenda na kitambulisha cha NIDA tu. Wanaweza kuanza na taasisi zilizo ajiri kuanzia watu 100 na kuendelea. baadae 50 na kuendelea etc. Hizo taasisi zote zina internet, na zina HR ni suala za kuomba taarifa kwa Email na kuwa na siku moja tu ya kutembelea kuhakiki...
Sijui wana feli wapi? waajiri watu wenye ufaulu wa Hesabu wawasaidie; Mbona rahisi tu???
 
Back
Top Bottom