Uchaguzi 2020 Wiki ya kuamua mitano tena ya kuendelea na matatizo yetu au mitano kwanza ya matumaini mapya

Uchaguzi 2020 Wiki ya kuamua mitano tena ya kuendelea na matatizo yetu au mitano kwanza ya matumaini mapya

Nemepeleka kitambaa cha suti ya kusherehekea ushindi wa JPM kwa fundi,mpaka sasa ajamaliza kushona suti yangu.na ishapita wiki sasa.
huyu fundi atakuwa sioChadema kweli?
CHADEMA ipi unaizungumzia si mlisema ishakufa?
 
mmeshafungua thread nyingi sana na tumeshawaambia tunataka mitano mingine ya matatizo
 
Ila watanzania tumezoea mateso, mitano tena 🙂
 
122202335_1465953nm.jpg
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi.

Rais Magufuli ameonyesha uzalendo wa hali ya juu, hakuna wa kumfikia
utamchagua Magufuli wewe pamoja na mkeo, mie na mke wangu tutamchagua TL!.
 
Ni heshima gani mliyowapa wananchi mnaowateka.

Maisha wa watu binafsi na yao.. na wengine kugombania vyeo ndani ya vyama vyao na kitendana.. kisha kila kitu munasingizia Serikali ya Magufuli.. wapi na wapi!!!

Muwache uvivu.. awamu hii imeleta mema watu kitambua thamani ya kuishi vizuri.. sio akina nyie wapenda vya dezo kuiba pesa za wananchi.. hata proof ya unayodai huna..

Kesho kutwa ni 💚💛💚💛💚
Mbele kwa mbele
 
Kura tutampigia Lisu kwa wingi lakini hatotangazwa mshindi. Wapenda mabadiliko plan B yetu ni ipi?
Mie nimefanikiwa 100% kuwashawishi familia nzima ya babu yangu kijijini yenye jumla ya wapiga kura 45 wote wamejipanga kumpigia kura LISSU
Ni bora tumpe kura nyingi hata wasimtangaze tutajua huko huko
 
mitano kwanza ya matumaini, kama kuna miradi hajaikamilisha tutampa ukatibu mkuu wizara ya ujenzi aendelee kujenga.
 
Maisha wa watu binafsi na yao.. na wengine kugombania vyeo ndani ya vyama vyao na kitendana.. kisha kila kitu munasingizia Serikali ya Magufuli.. wapi na wapi!!!

Muwache uvivu.. awamu hii imeleta mema watu kitambua thamani ya kuishi vizuri.. sio akina nyie wapenda vya dezo kuiba pesa za wananchi.. hata proof ya unayodai huna..

Kesho kutwa ni 💚💛💚💛💚
Mbele kwa mbele
Mlizoea vya kunyonga this time hakuna, nasikia kakodi majeshi ya nchi jirani kuja kuua raia wake pathetic, ikijulikana kwa evidence hiyo ni International Criminal Court Case moja kwa moja.
 
Unataka hadi utekwe wewe ndipo ujue watu wanatekwa.
Sijawahi kuwaona hao wanaotekwa, wala hakuna ndugu yangu, jamaa yangu wala jirani yangu, wala mwanamtaa wangu, wala jirani na mtaa wangu aliyetekwa.
 
Mlizoea vya kunyonga this time hakuna, nasikia kakodi majeshi ya nchi jirani kuja kuua raia wake pathetic, ikijulikana kwa evidence hiyo ni International Criminal Court Case moja kwa moja.
Wewe hadi unaleta hapa si tayari una evidence, kwa nini usianze safari ya kwenda kushitaki huko mnakoona mtapata haki
 
Back
Top Bottom