Uchaguzi 2020 Wiki ya kuamua mitano tena ya kuendelea na matatizo yetu au mitano kwanza ya matumaini mapya

Uchaguzi 2020 Wiki ya kuamua mitano tena ya kuendelea na matatizo yetu au mitano kwanza ya matumaini mapya

Sijawahi kuwaona hao wanaotekwa, wala hakuna ndugu yangu, jamaa yangu wala jirani yangu, wala mwanamtaa wangu, wala jirani na mtaa wangu aliyetekwa.
Wewe ni 1 kati ya watu mil 60 usipofanyiwa wewe wenzako wanafanyiwa muulize MO.
 
Wewe hadi unaleta hapa si tayari una evidence, kwa nini usianze safari ya kwenda kushitaki huko mnakoona mtapata haki
Am telling you this time mtajua hamjui kama mnategemea wizi wa kura mtashangaa dili ya mawakala imefeli almost 90% wameapishwa.
 
Plan B ni kutoka barabarani nchi nzima pale tutakapotakiwa kufanya hivyo. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma.

Itakuwa haina maana yoyote ikiwa tumechagua Rais wetu alafu tukubali kirahisi tu kwamba hakutangazwa mshindi ikiwa ameshinda.
New members mmejaa sana kipindi hiki 🤣🤣🤣🤣
 
Tunatakiwa tuishi katika uhalisia na ukweli! Matumani ni rahisi sana kuyeyuka! Matumaini siyo mkataba.
 
Plan B ni kutoka barabarani nchi nzima pale tutakapotakiwa kufanya hivyo. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma.

Itakuwa haina maana yoyote ikiwa tumechagua Rais wetu alafu tukubali kirahisi tu kwamba hakutangazwa mshindi ikiwa ameshinda.
kutoka barabarani siyo kizazi hiki mkuu....... watz tunaishia mtandaoni tu.......hebu fikiria uone mwenzio amepasuliwa ubongo ...mbele yako we utabaki?
 
Wewe hadi unaleta hapa si tayari una evidence, kwa nini usianze safari ya kwenda kushitaki huko mnakoona mtapata haki
Jeshi letu halina unifomu nyeusi na wanyoa viduku.

E3EFAA4F-6D63-4C16-91AC-14D3176E73E2.jpeg
 
Back
Top Bottom