Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,443
- 2,643
CHADEMA ipi unaizungumzia si mlisema ishakufa?Nemepeleka kitambaa cha suti ya kusherehekea ushindi wa JPM kwa fundi,mpaka sasa ajamaliza kushona suti yangu.na ishapita wiki sasa.
huyu fundi atakuwa sioChadema kweli?
Ni heshima gani mliyowapa wananchi mnaowateka.Ila mutalia jamani. Poleni adabu na heshoma kwa wananchi lazima iendeleee, nchi tujikuze.πππππππ
Mbona wewe hujatekwa?Ni heshima gani mliyowapa wananchi mnaowateka.
Unataka hadi utekwe wewe ndipo ujue watu wanatekwa.Mbona wewe hujatekwa?
utamchagua Magufuli wewe pamoja na mkeo, mie na mke wangu tutamchagua TL!.Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi.
Rais Magufuli ameonyesha uzalendo wa hali ya juu, hakuna wa kumfikia
Ni heshima gani mliyowapa wananchi mnaowateka.
# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE REAL KINJEKETILE BULLET CONDENCER
Mie nimefanikiwa 100% kuwashawishi familia nzima ya babu yangu kijijini yenye jumla ya wapiga kura 45 wote wamejipanga kumpigia kura LISSUKura tutampigia Lisu kwa wingi lakini hatotangazwa mshindi. Wapenda mabadiliko plan B yetu ni ipi?
utamchagua Magufuli wewe pamoja na mkeo, mie na mke wangu tutamchagua TL!.
Mlizoea vya kunyonga this time hakuna, nasikia kakodi majeshi ya nchi jirani kuja kuua raia wake pathetic, ikijulikana kwa evidence hiyo ni International Criminal Court Case moja kwa moja.Maisha wa watu binafsi na yao.. na wengine kugombania vyeo ndani ya vyama vyao na kitendana.. kisha kila kitu munasingizia Serikali ya Magufuli.. wapi na wapi!!!
Muwache uvivu.. awamu hii imeleta mema watu kitambua thamani ya kuishi vizuri.. sio akina nyie wapenda vya dezo kuiba pesa za wananchi.. hata proof ya unayodai huna..
Kesho kutwa ni πππππ
Mbele kwa mbele
Sijawahi kuwaona hao wanaotekwa, wala hakuna ndugu yangu, jamaa yangu wala jirani yangu, wala mwanamtaa wangu, wala jirani na mtaa wangu aliyetekwa.Unataka hadi utekwe wewe ndipo ujue watu wanatekwa.
Wewe hadi unaleta hapa si tayari una evidence, kwa nini usianze safari ya kwenda kushitaki huko mnakoona mtapata hakiMlizoea vya kunyonga this time hakuna, nasikia kakodi majeshi ya nchi jirani kuja kuua raia wake pathetic, ikijulikana kwa evidence hiyo ni International Criminal Court Case moja kwa moja.