Wiki ya pili niko jijini Mbeya sijaona msichana mrembo

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.
 
nimekuja kikazi mkoani mbeya wilaya ya tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe .au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini

Unafanya Research nini mkuu..... Au unatafuta one 9t stand kukwepana na baridi la maeneo.... Mikoa inayoongoza kwa UKimwi ni IRINGA, MBEYA....na upi tena vile
 
Unafanya Research nini mkuu..... Au unatafuta one 9t stand kukwepana na baridi la maeneo.... Mikoa inayoongoza kwa UKimwi ni IRINGA, MBEYA....na upi tena vile
mhhhh unanitisha bora nighair
 
Wakuongezee kazi ili uliyoianza ikome
 
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.

Sasa uko tukuyu unataka shombeshombe?njoo mbeya mjin ucheck vyombo,kuna shombe za kumwaga,uking'ang'ana na huko polini utaondoka bila bila
 
mdukuzi Mjomba ulienda kwenye kazi au kwenye umalaya? Nenda kikazi bukoba utafanya hiyo kazi yako vizuri, Mabinti wa huko wanajiheshimu hawana swaga za kuji-display kama ulivyokuwa unawaza kiuno shooo tu, mwanamke yoyote akitaka kukidisplay utakiona, lakini kikisitiriwa hata kadashan utamuona mtu wa Mbeya
 
Kaka niambie wanawake Wa Mbeya waangalie hata kwenye miguu INA vigimbi vikubwa utafikiri wanapanda milima.alafu viuno vyao havijatenganishwa na matako
 
Tukuyu kituko sana, sehemu ya kula bata ni moja tu inaitwa Laximi, kamji kadogo kinoma ila mazingira ni mazuri.

Nlikuwa huko mwezi ulopita, tulikuwa tunaenda kutembea Mbeya Mjini na kurudi Tukuyu jioni.

Ila kiukweli nimekaa mbeya kwa muda mchache sana ila maporipori wengi sana, wazuri wa hapo ni wahamiaji tu.
 
itabidi nijongee huko
 
Kaka niambie wanawake Wa Mbeya waangalie hata kwenye miguu INA vigimbi vikubwa utafikiri wanapanda milima.alafu viuno vyao havijatenganishwa na matako
hakuna hata demu maj ya kunde wote weusi
 
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.

Beauty lies in the eyes of the beholder!
 
msamiati kazi na dawa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…