Wiki ya pili niko jijini Mbeya sijaona msichana mrembo

Wiki ya pili niko jijini Mbeya sijaona msichana mrembo

Inawezekana wewe mwenyewe mbovu tu ndo maana huoni hao warembo!by the way huko tukuyu hakuna type yako tu sio kwamba sio warembo!!(Dharau izo)
sio dharau nimetembea tanzania maeneo mengi ila wa huku hapana utanisamehe kwa kweli du
 
Beauty lies in the eyes of the beholder!
ila mwanamkwe lazima awe na sifa za uladish,sauti,umbo,ngozi ,pozi,na the way anavyobehave that make diff btn man and woman
 
Tukuyu kituko sana, sehemu ya kula bata ni moja tu inaitwa Laximi, kamji kadogo kinoma ila mazingira ni mazuri.

Nlikuwa huko mwezi ulopita, tulikuwa tunaenda kutembea Mbeya Mjini na kurudi Tukuyu jioni.

Ila kiukweli nimekaa mbeya kwa muda mchache sana ila maporipori wengi sana, wazuri wa hapo ni wahamiaji tu.

Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
 
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.

Nadhani nivyema ifanyike cross-breeding. Wachukuliwe vijana wa ARUSHA,TANGA e.t.c wakawapande mabinti wa huko Mbeya ili kuleta unafuu wa hali hiyo.
 
mbona hata huko 2kuyu wapo mkuu watto wa ukwel au ww hautembei kuzunguka cku za gulio hapo 2kuyu? nenda cku za j3 na alhamic utawaona watto waukwel xana
 
Ok mkuu.Wewe endelea kutafuta utakipata unachokitaka na usichokitaka.
 
mbona hata huko 2kuyu wapo mkuu watto wa ukwel au ww hautembei kuzunguka cku za gulio hapo 2kuyu? nenda cku za j3 na alhamic utawaona watto waukwel xana
yaani warembo wanasiku za kuonekana j3 na alhamisi kivipi
 
Acha umalaya ww. dada zetu huu muda wa kulima wee unataka wakae tuu hawajazoea umalaya kama unavo dhani wanajieshim na warembo wapo tena sana ila tunajuana wenyewe tatizo wewe unataka malaya wa fasta huwapati ng'oo.
 
Back
Top Bottom