Wiki ya pili niko jijini Mbeya sijaona msichana mrembo

Wiki ya pili niko jijini Mbeya sijaona msichana mrembo

Hahahaaaa mmenichekesha mkuu mdukuzi mbona unafika mbeya bila kutupa taarifa mapema sisi wazawa??? By the way pole sana ... Asa niko najiuliza hapa umefuata wadada au kazi???? Mkuu kuwa makini na huo mkoa ni ligi
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa mmenichekesha mkuu mdukuzi mbona unafika mbeya bila kutupa taarifa mapema sisi wazawa??? By the way pole sana ... Asa niko najiuliza hapa umefuata wadada au kazi???? Mkuu kuwa makini na huo mkoa ni ligi
we acha tu MankaM si unajua baridi ya mbeya kulala mwenyewe ni ishu nimefuata kazi lakini kumbuka wiki mbili sio kidogo lazima ukate kiu
 
we acha tu MankaM si unajua baridi ya mbeya kulala mwenyewe ni ishu nimefuata kazi lakini kumbuka wiki mbili sio kidogo lazima ukate kiu

Duuu asa huko kukata kiu ndio majanga ole wako utelekeze huyo utakaye mpiga mambo huhuhuuu lazima utafutwe
 
Duuu asa huko kukata kiu ndio majanga ole wako utelekeze huyo utakaye mpiga mambo huhuhuuu lazima utafutwe
kwan na wenyewe wako poa kwenye ulozi kama sumbawanga ,kuna mtu mtwara alitelekeza watu wakaondoka na makende kwa njia za mazingara kujicheki uvunguni hakuna kitu flat kabisa
 
kwan na wenyewe wako poa kwenye ulozi kama sumbawanga ,kuna mtu mtwara alitelekeza watu wakaondoka na makende kwa njia za mazingara kujicheki uvunguni hakuna kitu flat kabisa

Hahahaaaaa ni shidaa kila la kher mkuu daa ila fanya mpango urudi na mtindi lita 5 hahahaaaa dumu zimaaa
 
Hahahaaaaa ni shidaa kila la kher mkuu daa ila fanya mpango urudi na mtindi lita 5 hahahaaaa dumu zimaaa
nimesharudi tayari njoo uchukue mchele safi wa mbeya
 
Kila mwanamke ni mzuri inategemea unatafuta uzuri gani wewe. Usisahau Hiv/Aids is around the corner
 
Nimekuja kikazi mkoani
Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume
na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno
cha nyigu tatizo nini.

Sijui ulifikia Mbeya ya wapi, Wanawake wa huko ukimkuta mrembo anakuwa katimia sana, kuanzia miguu hukuti spoku, hips za maana, behind iliyo okay na halafu umkute anajipenda, utafurahi mwenyewe na roho yako. By the way, kiuno cha Nyigu, wewe Lundenga?
 
Loh Mbeya ukipata dem utafikiri ni mwanaume mwenzio,sauti,jinene alafu miguu,loh,labda uje kwetu katavi utapata wanyarwanda. Wakimbizi
 
Teh teh imenikumbusha UDSM kuna wadada ukikutana nao huna hata haja ya kuuliza wametoka mkoa gani kwanza weusi, vigimbi, uvaaji alaf ni watu wa dini sana, salute wadada wa mbeya
 
Kwan kufanya kaz ndio usipate kiburudisho??acheni ushamba wenu,mbeya mali hamna jamani
 
Back
Top Bottom