Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekuja kikazi mkoani mbeya wilaya ya tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe .au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini
Unafanya Research nini mkuu..... Au unatafuta one 9t stand kukwepana na baridi la maeneo.... Mikoa inayoongoza kwa UKimwi ni IRINGA, MBEYA....na upi tena vile
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.
Wanawake Wa Mbeya wanasauti nzito zaid ya wanaume
itabidi nijongee hukoTukuyu kituko sana, sehemu ya kula bata ni moja tu inaitwa Laximi, kamji kadogo kinoma ila mazingira ni mazuri.
Nlikuwa huko mwezi ulopita, tulikuwa tunaenda kutembea Mbeya Mjini na kurudi Tukuyu jioni.
Ila kiukweli nimekaa mbeya kwa muda mchache sana ila maporipori wengi sana, wazuri wa hapo ni wahamiaji tu.
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.
msamiati kazi na dawa,mdukuzi Mjomba ulienda kwenye kazi au kwenye umalaya? Nenda kikazi bukoba utafanya hiyo kazi yako vizuri, Mabinti wa huko wanajiheshimu hawana swaga za kuji-display kama ulivyokuwa unawaza kiuno shooo tu, mwanamke yoyote akitaka kukidisplay utakiona, lakini kikisitiriwa hata kadashan utamuona mtu wa Mbeya