sio dharau nimetembea tanzania maeneo mengi ila wa huku hapana utanisamehe kwa kweli duInawezekana wewe mwenyewe mbovu tu ndo maana huoni hao warembo!by the way huko tukuyu hakuna type yako tu sio kwamba sio warembo!!(Dharau izo)
Tukuyu kituko sana, sehemu ya kula bata ni moja tu inaitwa Laximi, kamji kadogo kinoma ila mazingira ni mazuri.
Nlikuwa huko mwezi ulopita, tulikuwa tunaenda kutembea Mbeya Mjini na kurudi Tukuyu jioni.
Ila kiukweli nimekaa mbeya kwa muda mchache sana ila maporipori wengi sana, wazuri wa hapo ni wahamiaji tu.
ila mwanamkwe lazima awe na sifa za uladish,sauti,umbo,ngozi ,pozi,na the way anavyobehave that make diff btn man and woman
itabidi nijongee huko
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.
Tatizo wewe umedili sana na dawa kuliko kazi, mhindi atakufukuza urudi huku kijiwezimsamiati kazi na dawa,
Sikutishi bali nakukumbusha huenda umesahau taarifa muhimu ulikotoka.mhhhh unanitisha bora nighair
Unakuta mwanamke anatembea kama kama mcheza mieleka
mrembo wangu si wewe jamani honeyfaith
Ungekuwa unatembea na mrembo wako usituchoshe sie