Voice of Wisdom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 537
- 240
Umeenda kufanyakazi (kikazi) au kutafuta wanawake watu wengine hamna staha kidogo tu tayari ushatafuta mwanamke shindwa na ulegee katika jina la Yesu
Tuachieni Mbeya yetu. Tunawapenda sana
we acha tu MankaM si unajua baridi ya mbeya kulala mwenyewe ni ishu nimefuata kazi lakini kumbuka wiki mbili sio kidogo lazima ukate kiuHahahaaaa mmenichekesha mkuu mdukuzi mbona unafika mbeya bila kutupa taarifa mapema sisi wazawa??? By the way pole sana ... Asa niko najiuliza hapa umefuata wadada au kazi???? Mkuu kuwa makini na huo mkoa ni ligi
we acha tu MankaM si unajua baridi ya mbeya kulala mwenyewe ni ishu nimefuata kazi lakini kumbuka wiki mbili sio kidogo lazima ukate kiu
kwan na wenyewe wako poa kwenye ulozi kama sumbawanga ,kuna mtu mtwara alitelekeza watu wakaondoka na makende kwa njia za mazingara kujicheki uvunguni hakuna kitu flat kabisaDuuu asa huko kukata kiu ndio majanga ole wako utelekeze huyo utakaye mpiga mambo huhuhuuu lazima utafutwe
kwan na wenyewe wako poa kwenye ulozi kama sumbawanga ,kuna mtu mtwara alitelekeza watu wakaondoka na makende kwa njia za mazingara kujicheki uvunguni hakuna kitu flat kabisa
nimesharudi tayari njoo uchukue mchele safi wa mbeya
inawezekana kabisa mkuu maana hakuna kimbaumbau huku
Jaman nyie mnaangalia wapi mbona vimbau mbau vipo vya kumwaga
Nimekuja kikazi mkoani
Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume
na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno
cha nyigu tatizo nini.