Wiki ya pili niko jijini Mbeya sijaona msichana mrembo

kwan na wenyewe wako poa kwenye ulozi kama sumbawanga ,kuna mtu mtwara alitelekeza watu wakaondoka na makende kwa njia za mazingara kujicheki uvunguni hakuna kitu flat kabisa
Hiyo tabia ipo mbeya na sio kwingine,ach kutoka nje ya mada
 
hata wachaga pia baadhi sura nzuri ila juu ni wakubwa kuliko chini yaani upana wa mabega hauendani na vimiguu vyao ....

Shaa, witness, Gigy money , kisa mwaipyana wa channel ten , ni sample za wanawake wa kinyakyusa hebu waangalie body zao
 
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.
Aisee
Sasa nunua maharage uhame mkoa
 
Nina baby la Kinyakyusa,
Lalaaaah ni balaa tupu hapa mjini.
Yaani ni full package with brains, katokea tukuyu sehemu wanapaita Mabonde.
Sema tu anapenda sana UMAGUFULI!!!!!
 
Haha anapenda "Umagufuli" au mwenyewe unamzingua?

Huwa namzingua siku moja moja nione tu anavyoleta UMAGUFULI,
Basi huwa nacheka sanaaa, ni sawa na swala amfukuze simba.
Nimekuja kujua wanawake wa Kinyakyusa wana adabu sana hata kama wamesoma.
This makes them even more Romantic.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Bora umesema wewe, ningesema me mnyaki wangesema tunajifagilia. Ndaga fijo

Kwa kweli adabu tu tunajitahidi, ila ndo usituzingue tu lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…