Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Haijarishi,ukweli utabaki palpalMleta huu uzi. Inaitwa Wilaya ya Rungwe na sio Wilaya ya Tukuyu.Tukuyu ni makao makuu ya Wilaya ya Rungwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijarishi,ukweli utabaki palpalMleta huu uzi. Inaitwa Wilaya ya Rungwe na sio Wilaya ya Tukuyu.Tukuyu ni makao makuu ya Wilaya ya Rungwe.
Hiyo tabia ipo mbeya na sio kwingine,ach kutoka nje ya madakwan na wenyewe wako poa kwenye ulozi kama sumbawanga ,kuna mtu mtwara alitelekeza watu wakaondoka na makende kwa njia za mazingara kujicheki uvunguni hakuna kitu flat kabisa
AiseeNimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.
Na wa kwenu.Unafanya Research nini mkuu..... Au unatafuta one 9t stand kukwepana na baridi la maeneo.... Mikoa inayoongoza kwa UKimwi ni IRINGA, MBEYA....na upi tena vile
Haha anapenda "Umagufuli" au mwenyewe unamzingua?Nina baby la Kinyakyusa,
Lalaaaah ni balaa tupu hapa mjini.
Yaani ni full package with brains, katokea tukuyu sehemu wanapaita Mabonde.
Sema tu anapenda sana UMAGUFULI!!!!!
Haha anapenda "Umagufuli" au mwenyewe unamzingua?
Bora umesema wewe, ningesema me mnyaki wangesema tunajifagilia. Ndaga fijoHuwa namzingua siku moja moja nione tu anavyoleta UMAGUFULI,
Basi huwa nacheka sanaaa, ni sawa na swala amfukuze simba.
Nimekuja kujua wanawake wa Kinyakyusa wana adabu sana hata kama wamesoma.
This makes them even more Romantic.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Bora umesema wewe, ningesema me mnyaki wangesema tunajifagilia. Ndaga fijo
Kwa kweli adabu tu tunajitahidi, ila ndo usituzingue tu lol