Ni week tatu sasa tangia tarehe ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma walipotakiwa kupaja fedha zao za kujikimu lakini mpaka sasa kimya.
Bodi pia wako kimya uongozi wa chuo nao uko kimya wanafunzi hawajui hata tatizo ni nani kati ya Chuo na Heslb
hali mbaya zaidi kwa dada zetu japo angalau Bunge lipo basi hawakosi pale wanapoingia mtaani
wanaume wenyewe ni mwendo wa kupiga Lampard maana saa kumi na moja mpaka kesho yake saa kumi na moja
Test nazo ndo zimepamba kupamba moto na njaa imepamba moto
ukijaribu kuulizia tu boom unachukuliwa usiku usiku
dah kweli hali mbaya!!!
Hii ndo hali ya udom kwa sasa.......