Wiki ya Tatu Udom hakuna boom

Wiki ya Tatu Udom hakuna boom

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
366
Ni week tatu sasa tangia tarehe ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma walipotakiwa kupaja fedha zao za kujikimu lakini mpaka sasa kimya.
Bodi pia wako kimya uongozi wa chuo nao uko kimya wanafunzi hawajui hata tatizo ni nani kati ya Chuo na Heslb
hali mbaya zaidi kwa dada zetu japo angalau Bunge lipo basi hawakosi pale wanapoingia mtaani
wanaume wenyewe ni mwendo wa kupiga Lampard maana saa kumi na moja mpaka kesho yake saa kumi na moja
Test nazo ndo zimepamba kupamba moto na njaa imepamba moto
ukijaribu kuulizia tu boom unachukuliwa usiku usiku
dah kweli hali mbaya!!!
Hii ndo hali ya udom kwa sasa.......
 
Arooooo....mbwa hafundiashwi kubweka...
 
Duh! kumbe UDOM nako wanapewa BOOM,kwani ni chuo kikuu?
 
Ni week tatu sasa tangia tarehe ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma walipotakiwa kupaja fedha zao za kujikimu lakini mpaka sasa kimya.
Bodi pia wako kimya uongozi wa chuo nao uko kimya wanafunzi hawajui hata tatizo ni nani kati ya Chuo na Heslb
hali mbaya zaidi kwa dada zetu japo angalau Bunge lipo basi hawakosi pale wanapoingia mtaani
wanaume wenyewe ni mwendo wa kupiga Lampard maana saa kumi na moja mpaka kesho yake saa kumi na moja
Test nazo ndo zimepamba kupamba moto na njaa imepamba moto
ukijaribu kuulizia tu boom unachukuliwa usiku usiku
dah kweli hali mbaya!!!
Hii ndo hali ya udom kwa sasa.......

Hapo kwenye nyekundu - unapelekwa wapi?
 
vumilia boom likichelewa kuna faida zake, coz unajibana mwisho wa siku utapata pesa ya kuja uraiani itakusaidia kutembea na bahasha kwa miezi miwili, sio ufike tu kitaa uanze kuomba kwa mzazi
 
Na pia kuna hasara zake kama kulundika madeeni, likija wanakua wanakusubiria tu upige chata,uwatoe chao.
vumilia boom likichelewa kuna faida zake, coz unajibana mwisho wa siku utapata pesa ya kuja uraiani itakusaidia kutembea na bahasha kwa miezi miwili, sio ufike tu kitaa uanze kuomba kwa mzazi
 
ni week tatu sasa tangia tarehe ya wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma walipotakiwa kupaja fedha zao za kujikimu lakini mpaka sasa kimya.
Bodi pia wako kimya uongozi wa chuo nao uko kimya wanafunzi hawajui hata tatizo ni nani kati ya chuo na heslb
hali mbaya zaidi kwa dada zetu japo angalau bunge lipo basi hawakosi pale wanapoingia mtaani
wanaume wenyewe ni mwendo wa kupiga lampard maana saa kumi na moja mpaka kesho yake saa kumi na moja
test nazo ndo zimepamba kupamba moto na njaa imepamba moto
ukijaribu kuulizia tu boom unachukuliwa usiku usiku
dah kweli hali mbaya!!!
Hii ndo hali ya udom kwa sasa.......
ili mkakeshe bar siyo?
 
Ni week tatu sasa tangia tarehe ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma walipotakiwa kupaja fedha zao za kujikimu lakini mpaka sasa kimya.
Bodi pia wako kimya uongozi wa chuo nao uko kimya wanafunzi hawajui hata tatizo ni nani kati ya Chuo na Heslb
hali mbaya zaidi kwa dada zetu japo angalau Bunge lipo basi hawakosi pale wanapoingia mtaani
wanaume wenyewe ni mwendo wa kupiga Lampard maana saa kumi na moja mpaka kesho yake saa kumi na moja
Test nazo ndo zimepamba kupamba moto na njaa imepamba moto
ukijaribu kuulizia tu boom unachukuliwa usiku usiku
dah kweli hali mbaya!!!
Hii ndo hali ya udom kwa sasa.......

hapo kwenye nyekundu boss huwa mnachukuliwa kwenda wapi??
 
unasaidiwa kutolewa nje ya eneo la chuo na mabegi yako na mwisho ujue umefika

du hiyo noma sasa ili watu waishije??au ndo yale mambo ya kuwakuta watoto wa kike wanaliwa uroda na wakubwa mitaa ya mjini nn??
 
Matatizo hutofautisha mtu aliesoma na msomi maana msomi hutumia elimu yake kutatua matatzo yanayomkabili wakati aliyesoma hawez kutatua matatizo kwa elimu yake licha ya ufaulu mzuri

kwa ushauri wangu, tumieni elimu zenu kutatua hilo tatizo
 
Sikiliza ww kijana suala lenu linaendele kufanyiwa kazi si muda mrefu mtapata pesa zenu tunaombeni endeleeni kuvuta subira.
 
wekeni hela k..u.ma,,,.!m..a!...yo zenu nyie mnae jiita body yamikopo sijui,chuo sijui,chuo sijui!kwani hela sizao?mmekalia ubabe tu maofisini mwenu utafikiri ofisi hizo zabibi zenu!mnapenda snack kutukunzwa!chuo change udom kinamatatizo sana yamikopo nahili linawafanya wanafunzi mara wamalizapo kutokisifia nakukitengenezea good public image chuo ndio maana kitaendelea kuitwa chakata hadi swahiba wakiwewe mlacha asepe!!kam..lacha kanajifanya kamungu mtu sana pale chuoni,nandio kanasababisha matatizo yamikopo kwawanafunzi kila mwaka!utakasikia nakejeli zake eti"mmenipita urefu tu fedha naelimu hamniwezi"unajidaia uprofesa wakiswahili!bora hata uprofesa wa bilali ningejidaia,full physics!poleni madogo najua jinsi bum linavyotesa!
 
Kudadek na lazma mtie adabu,mademu zenu wataliwa uroda hadi mkome!nyie si ndo wale watoto wa kikwete sio?chuo cha msaada shida sana

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom