Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 30,567 Reaction score 86,748 Jun 8, 2024 #41 Natafuta Ajira said: Jadda una lolote la kusema? Click to expand... We naye unanitafuta maneno tu, kama kweli mnataka jamii isiendelee kuharibika basi himizeni maadili kwa jinsia zote siyo kwa wanawake tu, kwa sababu hata wanaume kukosa maadili nako kumechangia tena kwa kiasi kikubwa tu jamii kufika hapa
Natafuta Ajira said: Jadda una lolote la kusema? Click to expand... We naye unanitafuta maneno tu, kama kweli mnataka jamii isiendelee kuharibika basi himizeni maadili kwa jinsia zote siyo kwa wanawake tu, kwa sababu hata wanaume kukosa maadili nako kumechangia tena kwa kiasi kikubwa tu jamii kufika hapa