Wikiendi Njema: Maombi yangu kwa wanawake wote wa JF wawe wenye kutenda haki na kuwa kwenye unyoofu

Wikiendi Njema: Maombi yangu kwa wanawake wote wa JF wawe wenye kutenda haki na kuwa kwenye unyoofu

Jadda una lolote la kusema?
We naye unanitafuta maneno tu, kama kweli mnataka jamii isiendelee kuharibika basi himizeni maadili kwa jinsia zote siyo kwa wanawake tu, kwa sababu hata wanaume kukosa maadili nako kumechangia tena kwa kiasi kikubwa tu jamii kufika hapa
 
Back
Top Bottom