Hapana mimi sio Padri Mkuu machiaveliWewe ni padri?
Asante Mkuu, Mimi ni Mkristu Mkatoliki.. Nashiriki Vema sana katika Kuilinda imani ya Kikristu Kupitia Ukatoliki, ikiwa ni Pamoja na Kuwasilisha neno Kupitia Makundi ya Facebook na WhatsAppUnajitahidi kuichambua sana biblia,je unashiriki vipi,kikanisa na kijamii katika kueneza na kuikuza dini ya kikristo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkatoliki mwenzangu,je una nafasi gani (uongozi) kwenye kabisa na jumuiyaAsante Mkuu, Mimi ni Mkristu Mkatoliki.. Nashiriki Vema sana katika Kuilinda imani ya Kikristu Kupitia Ukatoliki, ikiwa ni Pamoja na Kuwasilisha neno Kupitia Makundi ya Facebook na WhatsApp
Habari nduguNashiriki Vema sana katika Kuilinda imani ya Kikristu Kupitia Ukatoliki, ikiwa ni Pamoja na Kuwasilisha neno Kupitia Makundi ya Facebook na WhatsApp
Mkuu, Mimi sio Kiongozi (Niliwahi kuteuliwa) ila sikutaka kuwa busy ili tu niweze kupreach injili vizuri!Asante mkatoliki mwenzangu,je una nafasi gani (uongozi) kwenye kabisa na jumuiya
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuwa serious.."ugali wa udaga" hujawahi kusikia hata watu wakizungumzia humu??Mkuu umetumia sentensi geni kidogo kwangu
Upo vizuri mungu akuongezee upeo uzidi kutuletea vitu zaidiMkuu, Mimi sio Kiongozi (Niliwahi kuteuliwa) ila sikutaka kuwa busy ili tu niweze kupreach injili vizuri!
Habari ndugu
Ukiwa kama mkatoliki je una maoni gani kuhusiana na hii mada?
Pamoja na mada hii
AHSANTE
Mkuu labda sijapitia hayo MajukwaaHuwezi kuwa serious.."ugali wa udaga" hujawahi kusikia hata watu wakizungumzia humu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa basi..utajua maana yake tuMkuu labda sijapitia hayo Majukwaa