Wikiendi ya Leo: Niulize Chochote Kuhusu Mimi Nitakujibu!

Wikiendi ya Leo: Niulize Chochote Kuhusu Mimi Nitakujibu!

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
2,093
Reaction score
2,843
Poleni na Majukumu ya Siku Ndugu zangu WanaJF.
Awali ya yote Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia Afya njema, pia kwa kutujalia kuiona hii siku nyingine takatifu mbele zake!

Karibuni Katika Bandiko hili, Niulize chochote ambacho kitasaidia kuijenga jamii yetu, wanaJF na hata wasomaji na wataokuja kusoma Jukwaa Hili Miaka ijayo na hata baada ya kizazi chetu Kupita!

Karibuni sana, Asanteni!

ALFRED
 
Unajitahidi kuichambua sana biblia,je unashiriki vipi,kikanisa na kijamii katika kueneza na kuikuza dini ya kikristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu, Mimi ni Mkristu Mkatoliki.. Nashiriki Vema sana katika Kuilinda imani ya Kikristu Kupitia Ukatoliki, ikiwa ni Pamoja na Kuwasilisha neno Kupitia Makundi ya Facebook na WhatsApp
 

Case ya huyo ambaye amekataa kuwa Mkatoliki
case ya Mazishi ni Halali Padre kutokuja kwa sababu Kikristu ndoa halali ni Moja tu, na mke wa Pili ni Pale tu Mke wa kwanza anapofariki ndipo inaruhisiwa kufunga ndoa na mke mwingine!

Mtoto wake kutobatizwa, nimtakie Pole kwanza kwa sababu inaonekana kuna tatizo la kiufundi kuanzia kwenye Jumuiya yake.. Padre hana makosa kwa sababu yeye ni kuhani tu na analetewa hizo taarifa na viongozi wengine
Huyu ndugu anakosea kuacha ukatoliki kwa sababu hakuna taasisi ya kidini isiyo na madhaifu... Kikubwa ni Kurekebishana!

Case ya hawa wa Jumuiya Kuvunjika, ni uzembe wao na kukosa uzalendo kwenye imani yao.. Amri ya Kanisa inasema isaidie kanisa Katoliki kwa zaka!
 
Unawaambia neno gani wakatoriki wanaoamini maombezi kwa jina la Yesu na si la Maria mama ake mzazi wa Yesu
 
Back
Top Bottom