Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una umri ganiLabda Pombe za Kawaida
Mkuu ulijiunga JF 2008 ukiwa na umri wa miaka 13?Nina Miaka 23
Sina Mke Wala Mtoto
Sijawahi Tamani Mkuu!
Hapo nami nimestuka,,,alijiunga mdg sana
Mkuu kuna Uzi ulisema kila ukihudhuria kanisani unatamani kuwa padri ingawa umeoaNina Miaka 23
Sina Mke Wala Mtoto
Sijawahi Tamani Mkuu!
Sana aiseHapo nami nimestuka,,,alijiunga mdg sana
😱.
Nina swali moja TU kwako mkuu..Poleni na Majukumu ya Siku Ndugu zangu WanaJF.
Awali ya yote Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia Afya njema, pia kwa kutujalia kuiona hii siku nyingine takatifu mbele zake!
Karibuni Katika Bandiko hili, Niulize chochote ambacho kitasaidia kuijenga jamii yetu, wanaJF na hata wasomaji na wataokuja kusoma Jukwaa Hili Miaka ijayo na hata baada ya kizazi chetu Kupita!
Karibuni sana, Asanteni!
ALFRED
Siamini kama MTU kama wwe hili swali umelijibu hivi. Sikuuliza jinaMimi ni Alfred, Currently A University Student taking Bsc in Civil Eng.
Mkuu wewe ni nani?Mkuu Technicaly hii ndio namna unatakiwa ujitambulishe, Short n brief!