livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,955
- 5,616
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika kama umejibu vilivyo ...Hizo ni Conspiracies Mkuu, Hasa za Waprotestanti na wote walio Kinyume na Ukatoliki
Mkuu Conspiracy, Ni kama ulivyozungumza wewe hapo yaani INASEMEKANA Mwanzo wa Ukatoliki ni Kuanzia kwa Mtume Petro, Labda tuzungumzie neno katoliki, Hili neno lilitumiwa mara ya kwanza na Mtakatifu Ignatius wa Antiokia, Karne ya kwanza wakati akiandika barua kwa wasamaria.. alitumia hilo neno Katoliki akimaanisha la watu wote ulimwenguni kwa sababu kipindi hicho walijitokeza watu wengi waliokuwa waanadika nyaraka ambazo zilitaka kuchanganya zile za Ignatius, kwa maana hiyo hilo swala la sanduku la Agano kuibiwa ni Hadithi za Kusadikika tu!Sina uhakika kama umejibu vilivyo ...
Kuna jingine kwamba mwanzo wa ukatoliki ni pale ambapo jeshi la warumi waliiba sanduku la agano nchini Israel na kuanza kulifanyia edditing... ongea kuhusu hilo.
Wewe ni ME au KE?Poleni na Majukumu ya Siku Ndugu zangu WanaJF.
Awali ya yote Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia Afya njema, pia kwa kutujalia kuiona hii siku nyingine takatifu mbele zake!
Karibuni Katika Bandiko hili, Niulize chochote ambacho kitasaidia kuijenga jamii yetu, wanaJF na hata wasomaji na wataokuja kusoma Jukwaa Hili Miaka ijayo na hata baada ya kizazi chetu Kupita!
Karibuni sana, Asanteni!
ALFRED
TYK, wkend njema mkuuMimi ni Kijana Mkatoliki Muaminifu, Kuhusu Serikali ya awamu ya 5, No Comment!
Hadithi za kuasaidikika?Mkuu Conspiracy, Ni kama ulivyozungumza wewe hapo yaani INASEMEKANA Mwanzo wa Ukatoliki ni Kuanzia kwa Mtume Petro, Labda tuzungumzie neno katoliki, Hili neno lilitumiwa mara ya kwanza na Mtakatifu Ignatius wa Antiokia, Karne ya kwanza wakati akiandika barua kwa wasamaria.. alitumia hilo neno Katoliki akimaanisha la watu wote ulimwenguni kwa sababu kipindi hicho walijitokeza watu wengi waliokuwa waanadika nyaraka ambazo zilitaka kuchanganya zile za Ignatius, kwa maana hiyo hilo swala la sanduku la Agano kuibiwa ni Hadithi za Kusadikika tu!
Sanduku la agano lilikuwepo au halikuwepo?Nini Hiki Hakikuwepo?
Oooh sawa lilikuwepo, Kwa Bahati Mbaya Mara ya Mwisho katika Maandiko Matakatifu Sanduku la Agano lilizungumziwa Mara ya Mwisho katika Kitabu cha Wafalme na toka hapo halikuzungumziwa tena.. Kuhusu lilipo sasa wanatheolojia na Archaelogists wameshindwa kuthibithisha liko wapi sasa, wamekuja na theory nyingi ambazo hazina uhakika.. wengine wakidai lilifichwa na Jeremiah katika Mlima Nabo... Hakuna mwenye uhakika!Sanduku la agano lilikuwepo au halikuwepo?
Na kama lilikuwepo liko wapi hadi sasa?
Mkuu Heshima yako, Hii Mada ni ndefu saana.. Natamani uifahamu vizuri Ngoja Nikutumie ikiwa na quotations za BibliaSwali langu ni hili,,unasemaje kuhusu wakatoliki kuwaomba wafu wawaombee na pia kuwaomba kabisa katika Shida mbalimbali kwa kigezo kuwa ni watakatifu( lakini ni wafu), na uhusiano huo wa kuomba na hili andiko Kumbukumbu la torati 18:10-11?? Inayosema,ASIONEKANE KWAKO MTU AMPITISHAYE MWANAWE AU BINTI YAKE KATI YA MOTO,WALA ASIONEKANE MTU ATAZAMAYE BAO,WALA MTU ATAZAMAYE NYAKATI MBAYA,WALA MWENYE KUBASHIRI WALA MSIHIRI WALA MTU ALOGAYE KWA KUPIGA MAFUNDO,WALA MTU APANDISHAYE PEPO WALA MCHAWI WALA MTU AOMBAYE WAFU
Naomba jibu